Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi yazuia mkutano wa CUF Songea

Songea. Polisi mjini Songea, imezuia mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) uliokuwa ufanyike kwenye Viwanja vya mikutano vilivyopo eneo la Majengo Manispaa ya Songea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Polisi yazuia mkutano wa mama Lowassa

Jeshi la Polisi limezuia kufanyika kwa matembezi ya amani na mkutano wa mke wa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mama Regina Lowassa, uliopangwa kufanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam jana.

Mbali na kuzuiwa huko, pia wanawake sita kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), waliokuwa katika mchakato huo wa matembezi ya kuombea amani, walikamatwa kwa madai ya kufanya maandamano bila kibali cha polisi.

Tukio...

 

10 years ago

Habarileo

Polisi wafuta mkutano wa CUF

POLISI katika Mkoa wa Kaskazini Unguja wamezuia mkutano wa hadhara wa Chama cha Wananchi (CUF) ambao ulikuwa ufanyike katika Jimbo la Kitope kwa maelezo kuwa haukupata kibali cha jeshi hilo.

 

10 years ago

Michuzi

Jeshi la polisi nchini lathibitisha kuwa mlipuko uliowajeruhi askari polisi Songea ni bomu la kienyeji

Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai kamishina wa polisi Isaya Mngulu akizungumza na waandishi wa habari leo mjini mjini Songea mkoani Ruvuma---------------------Na Nathan Mtega wa demasho.com,Songea
JESHI la polisi chini limethibitisha kuwa kitu kilichokuwa kinadaiwa kuwa nio bomu lililorushwa mjini Songea mkoani Ruvum Septemba 16 mwaka huu majira ya saa 1.25 usiku katika eneo la Misufini na kuwajeruhi askari polisi watatu kati ya wanne waliokuwa doria kuwa ni bomu la kutupwa kwa mkono...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yazuia watoto kuogelea

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limepiga marufuku watoto wadogo kwenda kuogelea kipindi cha Sikukuu ya Pasaka. Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova,...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi yazuia msafara wa Lowassa

Jeshi la Polisi, jana liliuzuia msafara wa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa kwenda Usangi, wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro kushiriki mazishi ya kada wa CCM, Peter Kisumo, likitaka kupunguzwa kwa idadi ya watu.

 

9 years ago

StarTV

Polisi Mwanza yazuia mikusanyiko ya maandamano ya CHADEMA kuhofia Hofu Wa Kipindupindu

Polisi mkoa wa Mwanza imezuia mikusanyiko ya watu na maandamano kwa kuhofia kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu ambao unatajwa kuzagaa mkoani humo.

Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa taarifa za shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Geita katika viwanja vya Furahisha.

Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia za jeshi la polisi, mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kesho katika...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Askari polisi watupiwa bomu Songea


NA MWANDISHI WETU
ASKARI watatu  wa polisi mkoani Ruvuma wamejeruhiwa na kulazwa katika Hospitali ya Mkoa huo mjini Songea, baada ya kushambuliwa  na kitu kinachosadikiwa kuwa bomu la kurushwa kwa mkono.
Tukio hilo lilitokea juzi, jioni katika kata ya Msufini, karibu na daraja la Matarawe, wilayani Songea, mkoani Ruvuma,  ambapo watu watatu wasiofahamika walitupa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kurushwa kwa mkono.
Askari hao walikumbwa na mkasa huo wakati wakiwa kwenye doria katika eneo...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA CUF KOJANI

Mshauri wa mikakati wa Katibu Mkuu wa CUF Mansour Yussuf Himid, akiwaonyesha kidole watoto waliovalia sare za CUF (hawapo pichani), baada ya kuwasili katika kisiwa cha Kojani kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa hadharaMkurugenzi wa Habari na Mawasiliano ya Umma wa CUF Salim Bimani, akionesha zawadi alizokabidhiwa na wananchi wa Kojani kwenye mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika kiwani humo mwishoni mwa wiki.Baadhi ya wanachama, wapenzi wa CUF na wananchi waliojitokeza katika mkutano wa...

 

9 years ago

Vijimambo

Mkutano wa CUF Mtambwe

 Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia wafuasi wa Chama hicho katika viwanja vya Uondwe Mtambwe.  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.

  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.  Wafuasi na wapenzi wa CUF walifuatilia mkutano huo katika viwanja vya Uondwe.  Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani