Polisi yazuia mkutano wa mama Lowassa
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZDG0L6A9ULY/Vfvii7o-iSI/AAAAAAAA1aU/FiVAnO4K-x0/s72-c/mke%2Bwa%2Blowassa.jpg)
Jeshi la Polisi limezuia kufanyika kwa matembezi ya amani na mkutano wa mke wa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mama Regina Lowassa, uliopangwa kufanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam jana.
Mbali na kuzuiwa huko, pia wanawake sita kutoka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), waliokuwa katika mchakato huo wa matembezi ya kuombea amani, walikamatwa kwa madai ya kufanya maandamano bila kibali cha polisi.
Tukio...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Polisi yazuia msafara wa Lowassa
10 years ago
Mwananchi02 May
Polisi yazuia mkutano wa CUF Songea
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-Wqvmvh1JrjM/ViQUCzZqoYI/AAAAAAAAWmg/8_PG94pPpgs/s72-c/12108193_544907759018255_6751082051513443250_n.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Polisi yazuia watoto kuogelea
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limepiga marufuku watoto wadogo kwenda kuogelea kipindi cha Sikukuu ya Pasaka. Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova,...
9 years ago
StarTV21 Nov
Polisi Mwanza yazuia mikusanyiko ya maandamano ya CHADEMA kuhofia Hofu Wa Kipindupindu
Polisi mkoa wa Mwanza imezuia mikusanyiko ya watu na maandamano kwa kuhofia kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu ambao unatajwa kuzagaa mkoani humo.
Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa taarifa za shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Geita katika viwanja vya Furahisha.
Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia za jeshi la polisi, mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita Alphonce Mawazo unatarajiwa kuagwa kesho katika...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-au3Cp1u7Xqo/Vi0CI8mQlMI/AAAAAAAAW-g/vC3Sq13nhn0/s72-c/2X6A0449.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-NsQ_l5mt9o0/VfWQPvmyoQI/AAAAAAAAzAw/AWfaTLY_G48/s72-c/1.jpg)
MAMA SAMIA, NAPE NA MAMA SALMA KIKWETE WAITIKISA LINDI MKUTANO WA KAMPENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-NsQ_l5mt9o0/VfWQPvmyoQI/AAAAAAAAzAw/AWfaTLY_G48/s640/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0U3pcgc34Sk/VfWQP_Do12I/AAAAAAAAzA0/Etsz5_Zs9H0/s640/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-t9X_szdB1Lw/VEoKVzwavEI/AAAAAAAGtD0/fF_aSjW-ZyI/s72-c/DSC_0018.jpeg)
Mama Tunu Pinda Mgeni rasmi katika Mkutano wa akina mama wa Kitanzania waishio Uingereza
Mama Tunu Pinda alihudhuria Mkutano huo kwa mualiko wa mwenyeji wake Mrs Joyce Kallaghe Mke wa Balozi wa Tanzania Uk, Peter Kallaghe.
Mtoa mada aliyeongozana na Mama Tunu , alikuwa ni Mama Anna Matinde , mwanamke Mjasiriamali mahiri na aliyebobea ambaye ana kofia mbalimbali za Uwakilishi wa...
9 years ago
Vijimambo07 Sep
LOWASSA AZUA SINTOFAHAMU BAADA YA KUSEMA CCM OYEE KWENYE MKUTANO WA UKAWA MSINDAI NAE NI KAMA LOWASSA JITIRIRIKIE MWENYEWE
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2860850/highRes/1112336/-/maxw/600/-/r63lu6z/-/lowasa_akilini.jpg)
Tabora/Manyoni/Dar. Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa jana alizua sintofahamu baada ya kusema; “CCM oyee”, kauli iliyowafanya wananchi hao kukaa...