Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PONDAMALI ATEMBELEA GLOBAL

Kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali 'Mensah' (aliyevaa kofia) akiwa na wahariri wa magazeti ya Championi. Mhariri Kiongozi wa Championi, Saleh Ally (kushoto) akisalimiana na kocha wa makipa wa Yanga, Juma Pondamali kwenye Ofisi za Global Publishers Ltd leo Jumatano.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE

Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…

 

10 years ago

GPL

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI NCHINI ATEMBELEA GLOBAL, AHOJIWA NA GLOBAL TV ONLINE

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed R. Mpinga akiwa katika studio za Global TV Online. ...Kamanda Mpinga akifafanua jambo, mahojiano haya yatasikika kwenye Global Tv on Line na kuchapishwa na Gazeti la Uwazi Jumanne.…

 

10 years ago

GPL

PNC ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Pancras Ndaki 'PNC' akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. PNC akiongea jambo.…

 

10 years ago

GPL

MALAIKA ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa kike wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Diana Malaika Exavery Clavery 'Malaika', akiwa katika pozi wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. ...Akiimba wimbo wake wa Sare aliomshirikisha Mesen Selekta.…

 

11 years ago

GPL

JACQUELINE WOLPER ATEMBELEA GLOBAL

Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper akiwa katika pozi. Jacqueline Wolper Massawe (kushoto) akiwa na Afisa Masoko wa Global Publishers, Benjamin Mwanambu (kulia).…

 

11 years ago

GPL

WAKILI MARANDO ATEMBELEA GLOBAL

Wakili Mabere Marando akizungumza na waandishi wa habari wa Global katika chumba cha habari cha Global. Akiulizwa swali.…

 

10 years ago

GPL

KADJA NITO ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE

Msanii wa Bongo Fleva, Kadja Nito akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online. Kadja Nito akiwasikiliza wanahabari wa Global Publishers (hawapi pichani) wakati wa maswali. (PICHA: GLOBAL TV…

 

10 years ago

GPL

JUX ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa RnB nchini Tanzania, Jux akipozi katika studio za Global TV Online leo. Mtangazaji wa Global TV, Mourad Alpha (kushoto) akifanya mahojiano na Jux.…

 

11 years ago

GPL

SUMAYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Mh. Sumaye akielekezwa na Mhariri Kiongozi wa Global Publishers, Oscar Ndauka, katikati ni Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli.
 ….Akisalimiana na Meneja Mkuu wa Global, Abdallah Mrisho ofisini kwake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani