Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Postikodi kurahisisha huduma kwa jamii

ORODHA ya Misimbo ya Posta (Postikodi) kwa nchi nzima imeshakamilika na kuchapishwa kupitia gazeti la serikali. Wadau mbalimbali wameanza kutumia misimbo hiyo na anuani hizo, ikiwemo Taasisi ya Utambuzi na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

M-PESA YAENDELEA KURAHISISHA HUDUMA KWA WATANZANIA

Dar es Salaam,Tanzania Juni 10, 2014 , Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2008, huduma ya M pesa imendelea kuwa huduma yenye mafanikio zaidi katika utoaji wa huduma za kifedha huku ikiwanufaisha watanzania ambao wanauwezo wa kutuma na kupokea pesa kupitia mawakala zaidi ya 70,000, walioenea nchini kote.
Akizungumzia mafanikio ya huduma hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza amesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, huduma hiyo imeleta mapinduzi makubwa katika sekta ya huduma za...

 

10 years ago

Raia Mwema

Wagharamie hujuma za jamii badala ya huduma za jamii

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI POLISI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII

Na Frank Geofray – Jeshi la Polisi, Moshi.
Askari Polisi kote nchini wametakiwa kuendelea kutoa huduma bora kwa jamii, kwa kuwa kufanya hivyo kutasaidia kuimarisha na kuboresha uhusiano mwema na jamii ambao utasaidia kukabiliana na vitendo vya uhalifu na wahalifu vinavyojitokeza hapa nchini.
Hayo yalisemwa jana na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Nchini, Abdulrahman Kaniki wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, wahasibu na watunza stoo kutoka mikoa na vikosi vya Jeshi la...

 

10 years ago

Michuzi

NMB YAPATA TUZO KWA KUCHANGIA ZAIDI HUDUMA ZA JAMII

NMB imeibuka mshindi wa kwanza na wa jumla katika makampuni ya biashara yanayojali zaidi jamii kwa kutoa sehemu kubwa ya faida yake kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo katika jamii ya kitanzania.
Ushindi huo umetokana na utafiti uliofanywa na Taasisi ya utafiti wa huduma za maendeleo ya jamii - Research Centre for Social Development Services kwa kushirikiana na kampuni mwenza ya konsalt limited imetoa tuzo hiyo kwa NMB baada ya kujiridhisha kuwa ndiyo benki inayoongoza kwa kusaidia...

 

10 years ago

Michuzi

Airtel yaanzisha mradi wa huduma kwa jamii ujulikanao kama TUNAKUJALI

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (wa pili kulia), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu onyesho la muziki lililoandaliwa na kitengo cha huduma kwa wateja kupitia Mradi wa 'Tunakujali' kwa ajili ya kukusanya pesa za kuchangia shule ya watoto wenye mahitaji maalum ya Pongwe mkoani Tanga, litakalowashirikisha wanamuziki nyota, Mzee King Kikii (wa pili kushoto) na Banana Zorro (kushoto), litakalofanyika kesho Septemba 03, katika viwanja vya...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANAO WA WADAU WA HUDUMA YA AFYA YA MSINGI (PHC) KWA JAMII MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi Mkutano wa wadau wa Huduma ya Afya ya Msingi (PHC - Primary Health Care) kwa Wananchi Mkoani Rukwa tarehe 30 Mei 2014 katika ukumbi wa RDC mjini Sumbawanga. Katika kikao hicho mambo mbalimbali ya msingi kuhusu afya ya jamii yalijadiliwa na kuwekewa mpango kazi wa utekelezaji katika kuimarisha afya ya jamii Mkoani Rukwa. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na mkakati wa kupunguza vifo vya mama wajawazito, maendeleo ya...

 

11 years ago

GPL

KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII YA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE YAPITISHA MPANGO WA TIBA KWA KADI‏

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia) akichangia mada wakati wa wa kikao cha Kamati ya Afya ya halmashauri ya mji huo (CHMT) pamoja na Madiwani wa Kata mbali mbali za Korogwe, Tanga kujadili mchakato wa kubadilisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha pili kimefanyika  Machi 26, 2014 katika ukumbi...

 

5 years ago

Michuzi

DOCTORS WITH AFRICA YATOA ELIMU YA CORONA KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII SHINYANGA



 Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dr. Yudas Ndungile akisisitiza jambo kwa washiriki wa mafunzo ya namna ya utoaji wa elimu na  kukabiliana na ugonjwa wa Corona.
Na Damian Masyenene -

 Shinyanga Press Club Blog
JUMLA ya watoa huduma za Afya  ngazi ya jamii 109  kutoka Wilaya ya Shinyanga Mkoani Shinyangawamepewa mafunzo na  mbinu mbalimbali za namna ya kukabiliana na homa kali ya mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19).


Mafunzo hayo yametolewa kwa watoa huduma hao 53 kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani