Poulsen alimpa Messi, Kaseja akampa Ronaldo
>Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen amemchagua Lionel Messi kuwa mwanasoka bora wa dunia wakati nahodha wake, Juma Kaseja amempa kura yake Cristiano Ronaldo aliyeibuka mshindi wa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia 2013.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney …
December 31 ikiwa tunaelekea kufunga mwaka 2015 kwa kusubiri saa kadhaa zitimie ili tuumalize mwaka. Hii ni Alhamisi ya mwisho kwa mwaka 2015. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TBT Pichaz za mastaa hawa wa soka, Juma Kaseja, Neymar, Ronaldo, Messi na Wayne Rooney. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Cheki TBT Pichaz za mastaa wa soka Ronaldo, Kaseja, Messi, Neymar na Wayne Rooney … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
VijimamboRonaldo v Messi at Old Trafford
11 years ago
BBCSwahili30 Apr
Ronaldo avunja rekodi ya Messi
11 years ago
Mtanzania25 Aug
Kikwete kuwaleta Ronaldo, Messi

Rais Jakaya Kikwete
Na Abducado Emmanuel, Dar es Salaam
BAADA ya ujio wa magwiji wa zamani wa timu ya Real Madrid kufanyika kwa mafanikio makubwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, ameeleza kuwa anafanya uwezekano wa kuileta timu halisi ya Real Madrid yenye nyota, Cristiano Ronaldo au Barcelona yenye staa, Lionel Messi.
Magwiji hao walicheza mechi ya kirafiki dhidi ya magwiji wa zamani wa Tanzania ‘TSN Tanzania Eleven’, iliyoisha kwa Real Madrid kushinda kwa mabao 3-1,...
10 years ago
Mtanzania14 Jan
Ronaldo apania kumfikia Messi
ZURICH, USWISI
NYOTA waReal Madrid, Cristiano Ronaldo, usiku wa kuamkia jana alifanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia ‘Ballon d’Or’ kwa mara ya pili mfululizo, huku mwaka huu akipanga kuchukua tena na kumzidi nyota wa Barcelona, Lionel Messi aliyeitwaa mara nne.
Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Ureno aliwapiku wapinzani wake, Messi na kipa wa Bayern Munich, Manuel Neuer, waliokuwa wakishindanishwa kuwania tuzo hiyo.
Nyota hao watatu pia walifanikiwa kuorodheshwa kwenye kikosi bora...
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Ronaldo, Messi wanyimana kura
11 years ago
Habarileo04 Sep
Shibuda ajifananisha na Messi, Ronaldo
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema kwamba hajakihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo bali amekosana na mfumo wa utumishi wa ndani ya chama hicho.
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Messi, Ronaldo, Soton gumzo
11 years ago
Mwananchi04 Feb
Si Messi wala Ronaldo ni Atletico