PRAKITI MALLA, MWANAFUNZI MWENYE MWANDIKO BORA ZAIDI
![](https://1.bp.blogspot.com/-m7R_n_K-BA0/XsTYrH-AZGI/AAAAAAALq3w/0uqPmyxIrvcxIqYECD_GeEddAdf9galzgCLcBGAsYHQ/s72-c/Best-handwriting--640x360.jpg)
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
MWANDIKO wa mwanafunzi Prakiti Malla (16) maarufu kama "Microsoft Word" binti kutoka Nepal umevunja rekodi ya kuwa mwandiko bora zaidi kuwahi kutokea, katika mitandao mbalimbali ya kijamii hati za mwandiko wa binti huyo zimekuwa zikisambaa na kusifiwa kwa namna ulivyoumbwa kwa namna kuvutia na kusomeka kwa urahisi.
Baadhi ya watu wamekuwa wakitumia muda mwingi zaidi katika shule za awali katika kuumba herufi na stadi za uandishi na wachache hufanikiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima10 Jan
Mwanafunzi bora ataka udaktari
MWANAFUNZI aliyeongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, Hussein Hemed Hussein, kutoka Shule ya Msingi Tusiime ya Tabata jijini Dar es Salaam amesema ndoto yake ni kuwa...
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Lishe bora ina nafasi katika maendeleo ya mwanafunzi
KWA mara ya kwanza kushiriki matembezi ya kuchangia chakula kwa watoto wa shule ilikuwa mwaka 2007, nilitembea kutoka ofisi za Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Matafa (WFP) karibu na ulipokuwa ubalozi wa Marekani hadi viwanja vya Karemjee.
Sikuchangia kiasi kikubwa cha fedha lakini niliamini moyoni kushiriki kwangu kulikuwa msaada mkubwa kwa watoto wa shule wanaoshinda na njaa, mpango huu hufanyika kila mwaka kwa lengo la kuchangisha fedha kutoka kampuni na watu binafsi ili...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Rais bora si lazima awe mwenye fedha
KWA muda mrefu baadhi yetu tumekuwa tukisikia habari za mfululizo, tena kwa kishindo za wanachama wa vyama vya siasa na hasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiweka hadharani nia yao...
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
KHALID KASSIM MOHAMED: Mwanafunzi bora Zanzibar anayelilia uprofesa
“MATARAJIO yangu ni kuendelea na elimu ya juu ili nifikie ndoto zangu za kuisaidia familia na nchi yangu.” Hiyo ni kauli ya Khalid Kassim Mohamed (15), mwanafunzi bora kwa kufanya...
10 years ago
Bongo Movies12 Dec
RAY: Bora Kujipanga Mwenye Kwenye Harusi Yako
Muigizaji na muongozaji wa filamu Vicent Kigosi “Ray” akiongea kwenye kipindi cha Television cha Boys Boys kinachorushwa na kituo cha TV1. Alionekana kupinga swala watu wenye pesa zao lakini bado wanasumbua watu kwa michango ya harusi hivyo akashauri ni bora mtu kabla ya kuoa ajipange na sio kusumbua watuna kadi za michango.
“Sio mtu unawapa watu mizigo isiyo ya kwao,” alisema. “Kama una uwezo fanya mwenyewe, kwa sababu katika maisha tunaambiwa kuna vitu vitatu, kuzaliwa, harusi na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-bOObZmFf0CQ/VOUW2SlK7DI/AAAAAAADZ3w/bMkMgTkhiYo/s72-c/5c003a005857ee318ddc7b03870f17a3.jpg)
MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA NNE AWATAKA VIONGOZI WAWE WAKWELI, WAADILIFU
![](http://3.bp.blogspot.com/-bOObZmFf0CQ/VOUW2SlK7DI/AAAAAAADZ3w/bMkMgTkhiYo/s1600/5c003a005857ee318ddc7b03870f17a3.jpg)
MSICHANA Nyakaho Marungu (16) mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Baobab,iliyopo Mapinga Bagamoyo mkoani Pwani aliyeibuka mwanafunzi bora wa mtihani wa kidato cha nne mwaka 2014 nchini, amewataka viongozi nchini kuwa wakweli na waadilifu ili kuiletea nchi maendeleo na kutokumuudhi Mwenyezi Mungu.Akizungumza na GPL nyumbani kwao...
9 years ago
Bongo524 Sep
Hakuna mtoto wa staa mwenye mvuto zaidi ya Tanzanite — H.Baba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BM3*tIQqFL-6CMXT4g6n8tV09cky1Wu2lS8KemeCgjl5J2gqxqzInesfNCpq-zOBSaXKrHXde2mkzO6BHFq-SfU4BBlkhglZ/MikelRuffinelli.jpg)
MJUE MWANAMKE MWENYE ‘MAHIPS’ MAKUBWA ZAIDI DUNIANI