Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Price-conscious members opt for ‘Mama Lishe’ food

 Constituent Assembly members are flocking to humble eating joints near Parliament buildings, The Citizen has established.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAMA, BABA LISHE SACCOS KUZINDULIWA DAR

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mama Lishe na Baba Lishe, Ramadhan Mohanzu, Mshauri wa Jumuiya hiyo, Said Mohamed, Katibu wa Soko la Machinga Dar, Agatha C. Kiluhumo na Katibu wa Soko la Ilala. Wanahabari wakichukua matukio.…

 

11 years ago

Habarileo

Mama lishe walia na uchafu stendi Jamatin

WAFANYABIASHARA wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula eneo la stendi ya Jamatin wamo katika hatari ya kupata magonjwa ya kuambukiza, yakiwemo kipindupindu kutokana na maji ya mvua yenye uchafu mbalimbali kutuama katika eneo hilo. Pamoja na kuwa kero kwa wapita njia, maji hayo yanatoa harufu mbaya.

 

11 years ago

Dewji Blog

Hata wazungu wanawatambua kina Mama Lishe!

CSC_0240

Pichani ni Raia wa Kigeni walipokutwa na Camera ya MOblog mjini Iringa wakijipatia mlo wa mchana kwa Mama Lishe wanaofanyabiashara zao ndani ya uzio wa kituo cha Redio Nuru FM.

Pamoja na Halimshauri kuwa nyanyasa watoa huduma za Lishe mitaani kwa kuwafukuza na kuwavunjia vibanda vyao bado watu kama hawa Raia wa kigeni wanawathamani na kutambua umuhimu wao wa kuweka mwili katika Lishe bora.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS YATOA MSAADA KWA MAMA LISHE


NA DENIS MLOWE-IRINGA
Katika kuendelea na mapambano dhidi ya kuenea kwa virusi vya corona nchini kampuni Asas yenye makao makuu mkoani Iringa imegawa msaada wa barakoa 500 kwa mama lishe wanaofanya biashara zao katika masoko matano yaliyoko manispaa ya Iringa kwa ajili ya kujinga na Virusi Vya Corona.
Msaada huo umetolewa kwa mama lishe hao ikiwa ni juhudi za kampuni hiyo kuungana na serikali katika kutokomeza kuenea kwa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 ambao umekuwa...

 

5 years ago

Michuzi

BRELA YAWATAKA MAMA LISHE KURASIMISHA BIASHARA ZAO

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewahimiza Mama lishe wa Mkoa wa Pwani kurasimisha biashara zao kwa kuzisajili ili waweze kulinda biashara zao na kupata fursa mbalimbali.

Rai hiyo imetolewa katika Tamasha la Mama Lishe festival lililofanyika siku ya jana tarehe 28 Februari 2020, kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

Akizungumza katika Tamasha hilo Msaidizi wa Usajili Mwandamizi kutoka BRELA, Bi. Leticia Zavu amebainisha kwamba mara...

 

11 years ago

Michuzi

MH. CHIKAWE AWAMWAGIA MISAADA MAMA LISHE MJINI NACHINGWEA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akimpa msaada wa boksi lenye vyombo mbalimbali Mama Lishe wa Soko Kuu mjini Nachingwea mkoani Lindi leo. Mama Lishe hao zaidi ya 120, kila mmoja alipewa boksi ambalo ndani yake kuna Chupa ya Chai, Sahani, Vijiko, Birika, Umma pamoja na Vikombe vikubwa vya maji. Mama Lishe hao walishukuru misaada hiyo ambayo itawasaidia katika biashara yao. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa...

 

9 years ago

GPL

MAMA, BABA LISHE WASHIRIKI MAADHIMISHO SIKU YA AFYA YA MAZINGIRA

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Chama Cha Maafisa Afya (CHAMATA) ,Baraka Mhina, aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo Emmanuel Mwandepa (anayezungumza katikati) na Ofisa Afya wa Manispaa ya Ilala, Fatuma Maduhu. Meza kuu ikisikiliza risala iliyokuwa ikisomwa kutoka kwa washiriki wa maadhimisho hayo.…

 

11 years ago

Michuzi

MH. MASELE AWAJENGEA UWEZO WAKINA MAMA LISHE MKOANI SHINYANGA

 Mbunge wa Shinyanga mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Ndugu Stephen Masele akizungumza kwenye mkutano na wakina Mama na Baba Lishe wa Shinyanga mjini ambapo aliwasaidia kufungua SACCOS na kuwaongezea mtaji wa biashara yao.  Wakina Mama Lishe ambao wengi ni Wajane na Yatima wa Shinyanga mjini wakishangilia jambo wakati wa hotuba ya Mbunge wao Ndugu Stephen Masele,kwenye ukumbi wa NSSF CCM mkoa wa Shinyanga uliofanyika jana tarehe 26 Februari 2014.  Wakina Mama Lishe ambao wengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani