Prof. Muhongo: Nitazungumzia urais muda ukifika
Wakati makundi mbalimbali yakipigana vikumbo kumshawishi aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo agombee urais, mwenyewe amesema muda bado, ukifika atasema.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Feb
Prof. Muhongo agoma kuzungumzia urais
NA EVANS MAGEGE
SIKU chache baada ya wazee wa Wilaya ya Musoma, na jana tena baadhi ya viongozi wa mashina na matawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam kumtaka aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, achukue fomu ya kuwania urais, mwanasiasa huyo amesema hataki kujisumbua kuzungumzia mambo ya urais kwa sasa.
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu katikati ya wiki hii kuhusiana na tamko hilo, Profesa Muhongo, licha ya kukiri wazi kuwa amesikia...
10 years ago
GPLPROF. MUHONGO ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
10 years ago
Dewji Blog22 Mar
Prof.Muhongo aombwa kugombea urais 2015 na umoja wa vyama vya wanafunzi elimu ya juu
Umoja wa Vyama vya wanafunzi elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjaro na Arusha wajitokeza kumshawishi Prof. Sospeter Muhongo kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog).
Akizungumza kwa niaba ya vijana wenzake Mwenyekiti wa vijana Charles Ngereza kutoka chuo cha Uhasibu Arusha amesema kuwa kinachowafanya kumshawishi Prof Sospeter Muhongo kugombea urais ni kutokana na kuwa kiongozi bora kwa wananchi na mtu anayejali matatizo...
10 years ago
Mwananchi03 Aug
Mbowe: Nitamzungumzia Dk Slaa muda ukifika
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Dk Slaa: Niko salama, nitazungumza muda ukifika
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Vanessa, Jux kutoka pamoja muda ukifika
NA HERIETH FAUSTINE
MKALI wa muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘V Money’ na Juma Jux ‘Jux’, wamesema baada ya kila mmoja kukamilisha kazi zake ndipo watatoa nyimbo zao za ushirikiano ambazo wamesharekodi.
Aliongeza kwamba, kutokana na kila mmoja kuwa na kazi zake nyingi, hawataweza kufanya kazi ya pamoja hadi kila mmoja atakapomaliza, maana wazo hilo walikuwa nalo muda mrefu na wameshalifanyia kazi, ingawa hawataki kuzitoa kwa sasa.
“Tumeshafanya nyimbo za pamoja nyingi, lakini hatutatoa...
10 years ago
Michuzi21 Mar
UMOJA WA VYAMA VYA WANAFUNZI ELIMU YA JUU KUTOKA VYUO MBALIMBALI KANDA YA KASKAZINI WAMUOMBA PROF.MUHONGO KUGOMBEA URAIS 2015
![IMG_8515](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/YK5JdFGBw-GKQMMrLQc4ng65YITIhbdN3d3lT4T7Ps3ed0rLYYAy03OHEAOLQlTyWQIGCgqSp2TNpd3NagEeYV0Eh1-aIJS0bSimPXpOgi5neL1SzBzBTvk=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/03/img_8515.jpg?w=660)
![IMG_8521](https://ci3.googleusercontent.com/proxy/kgeoi6XMMV_Smw1YSKVAwo79aSUU99eogLuacUN3VS3lQeicUi0HfUtdEz4aSQqAzkJRH4yqDMW4P3ceA2giaYEdlk1HrSEqNBy5xKiEdJ4U6d9IquCWDcI=s0-d-e1-ft#https://pamelamollel.files.wordpress.com/2015/03/img_8521.jpg?w=660)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s72-c/1.jpg)
HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO
![](http://2.bp.blogspot.com/-7gihMNqd4-8/VJhdkr5gRPI/AAAAAAAAVDA/dhJNfJv05x8/s1600/1.jpg)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)
![](http://4.bp.blogspot.com/-6rChn-QJ6gM/VJhdx7TABQI/AAAAAAAAVDY/vyedmvEXjO4/s1600/12.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-85xjOsGLXKo/VJhdzYAjX1I/AAAAAAAAVDk/1KuPUy1fFNY/s1600/14.jpg)
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/alJLWH62eMS-NLx00o4VN1*j4J-kgXN2w4l3xHDuwB-MCRDi8Yxl9OSc1Ai4uD06brjEUwSE2P-7lFCF4lzO8lXrsOna-LGh/PROFMUHONGO.jpg?width=650)
MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI