Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Prof. Muhongo agoma kuzungumzia urais

profesa MuhongoNA EVANS MAGEGE

SIKU chache baada ya wazee wa Wilaya ya Musoma, na jana tena baadhi ya viongozi wa mashina na matawi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar es Salaam kumtaka aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, achukue fomu ya kuwania urais, mwanasiasa huyo amesema hataki kujisumbua kuzungumzia mambo ya urais kwa sasa.
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu katikati ya wiki hii kuhusiana na tamko hilo, Profesa Muhongo, licha ya kukiri wazi kuwa amesikia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

PROF. MUHONGO ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (pichani juu) naye ametangaza nia ya kuwania Urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa kwenye Ukumbi wa Chuo Huria huko Musoma mkoani Mara jioni hii. Prof. Muhongo amesema hawezi kutoa ahadi ya mishahara wakati hajakuza uchumi, hawezi kutoa ahadi ya kujenge shule wakati hajakuza uchumi hivyo tukuze kwanza uchumi kama ulivyo kauli mbiu yake ya Tukuze Uchumi,...

 

10 years ago

Mwananchi

Prof. Muhongo: Nitazungumzia urais muda ukifika

Wakati makundi mbalimbali yakipigana vikumbo kumshawishi aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo agombee urais, mwenyewe amesema muda bado, ukifika atasema.

 

10 years ago

GPL

MZEE CHILLO AGOMA KUZUNGUMZIA MAKUBALIANO YA UKAWA

Stori: Gabriel Ng’osha
MKONGWE katika filamu za Bongo, Ahmed Ollutu ‘Mzee Chillo’ amefunguka kuwa yeye si mwanasiasa hivyo hawezi kuzungumza chochote juu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Akijibu swali la mwandishi wetu baada ya kuulizwa anazungumziaje kitendo cha Ukawa kusaini makubaliano ya kusimamisha Mkongwe katika filamu za Bongo, Ahmed Ollutu ‘Mzee Chillo’. mgombea mmoja mmoja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof.Muhongo aombwa kugombea urais 2015 na umoja wa vyama vya wanafunzi elimu ya juu

unnamed

Umoja wa Vyama vya wanafunzi elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjaro na Arusha wajitokeza kumshawishi Prof. Sospeter Muhongo kugombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog).

unnamed (1)

Akizungumza kwa niaba ya vijana wenzake Mwenyekiti wa vijana  Charles Ngereza kutoka chuo cha Uhasibu Arusha amesema kuwa kinachowafanya kumshawishi Prof Sospeter Muhongo kugombea urais ni kutokana na kuwa kiongozi bora kwa wananchi na mtu anayejali matatizo...

 

10 years ago

Michuzi

UMOJA WA VYAMA VYA WANAFUNZI ELIMU YA JUU KUTOKA VYUO MBALIMBALI KANDA YA KASKAZINI WAMUOMBA PROF.MUHONGO KUGOMBEA URAIS 2015

IMG_8515UMOJA wa Vyama vya wanafunzi Elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjarona ,Arusha ,wajitokeza kumshawishi Prof. Sos peter Muhongo Kugombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog).IMG_8521Akizungumza kwa niaba ya vijana wenzake Mwenyekiti wa vijana hao Charles Ngereza kutoka chuo cha uhasibu Arusha amesema kuwa kinachowafanya kumshawishi prof Sos peter kugombea urais ni kutokana na kuwa kiongozi bora kwa wananchi na mtu anayejali matatizo ya...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA JK, PROF. TIBAIJUKA AOMBWA KUJIUZULU, PROF MUHONGO AWEKWA KIPORO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma hotuba yake kwa Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ( Picha na Adam Mzee)Ukumbi wa Diamond Jubilee ukiwa umefurika Wazee waliokuja kumsikiliza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Ukumbi ulifurika kila kona.
--Rais Kikwete ameanza kuongea na wazee wa Mkoa wa Dar katika Ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo Watanzania wanataraji atoe mwongozo kuhusu sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow na...

 

10 years ago

GPL

MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI

Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo. WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa. Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema. Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo, Mwanasheria… ...

 

10 years ago

GPL

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI KATIKA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUZUNGUMZIA DAWA YA CORONA YA MADAGASCAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha JNICC jijini Dar  leo, mara Baada ya kurejea kutoka nchini Madagascar kuchukua dawa ya virusi vya Corona, ii kupambana na maradhi hayo ya COVID – 19 ambapo itafanyiwa utafiti kabla ya kuanza kutumiwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani