Profesa Lipumba akiri muungano ni jambo zuri
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ametaka kuachwa kuingiza misimamo ya vyama bali kuweka mbele maslahi ya taifa wakati wa kujadili katiba na kuhakikisha muungano unalindwa kwa maslahi ya Taifa. Alisema hayo katikati ya wiki mjini hapa katika mahojiano .
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Apr
‘Kuwepo Muungano miaka 50 ni jambo kubwa’
MAFANIKIO makubwa ya Muungano nchini ni kudumu kwa muundo huo kwa miaka 50, imeelezwa. Hayo yamesemwa na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu Dar es Salaam juzi, katika mahojiano na TBC 1, yaliyohudhuriwa pia na waandishi wa habari wa vyombo vingine.
10 years ago
Mtanzania07 Aug
Profesa Lipumba aondoka nchini
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
SAA chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini.
Hata hivyo, haikufahamika mara moja amekwenda nchi gani na atakaa kwa muda gani.
Profesa Lipumba aliondoka nchini baada ya kumaliza mkutano wake na waandishi wa habari katika Hoteli ya Peacok jijini Dar es Salaam, ambako alitangaza kujiondoa katika chama chake na katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Taarifa...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Profesa Lipumba avuruga Bunge
11 years ago
Habarileo26 Jan
UVCCM yamuonya Profesa Lipumba
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) imemuonya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba kuacha kuingilia uamuzi wa kikatiba unaofikiwa na chama hicho.
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba awekwa kizuizini
10 years ago
Mtanzania15 Jun
Profesa Lipumba: Nitaibeba Ukawa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahimu Lipumba amesema anatosha kugombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iwapo atapewa nafasi hiyo na vyama washirika.
Amesema anawania nafasi hiyo huku kujiona ni mgombea pekee anayeweza kuwaunganisha Watanzania na kwamba ndiye aliasisi jina la Ukawa wakati wa Bunge Maalumu la Katiba.
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuchukua fomu ya kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Profesa Lipumba aibukia Kigali
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu unawanyima demokrasia wananchi kwa kuwa watakuwa na wagombea urais wawili kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na kituo cha runinga cha Azam juzi baada ya vyombo kadhaa vya habari kuandika uvumi kwamba ametoweka nchini kwa shinikizo huku akiwa amefadhaika, Profesa Lipumba alikanusha taarifa hizo na kuonyesha masikitiko yake jinsi Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa)...
10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Profesa Lipumba afikishwa mahakamani
10 years ago
Mwananchi08 Aug
Maalim Seif ‘amchana’ Profesa Lipumba