Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROFESA MCHOME AZINDUA OFISI ZA NACTE MIKOANI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome (kulia) akimkabidhi Edward Mneda nyaraka za utendaji kazi kufuatia kuteuliwa kuwa Mkuu wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Kanda ya Kati. Kushoto ni Mkuu wa Kanda Msaidizi wa Kanda ya Ziwa Beatrice Mpanda. Baraza hilo limefungua ofisi katika kanda tano Dodoma, Arusha, Zanzibar, Mbeya na Mwanza kurahisisha utekelezaji wa majukumu yake.
Katibu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wizara yafungua vituo vya NACTE mikoani

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) imefungua ofisi tano za kanda ikiwa ni sehemu ya mkakati wa wizara kuongeza ufanisi...

 

11 years ago

Habarileo

NACTE yafungua ofisi tano za kanda

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kupitia Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ( NACTE), imefungua ofisi tano za kanda, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa wizara ya kuwekeza katika eneo la usimamizi wa sekta ya elimu nchini kuongeza ufanisi na kufikia Matokeo Makubwa Sasa (BRN).

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako, akitembezwa katika maeneo ya ofisi za Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) jijini Dar es salaam jana na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk.Primus Nkwera. Waziri huyo alikuwa katika ziara ya kutembelea taasisi za elimu zilizochini ya wizara yake. Na Mpigapicha wetu. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto), akisisitiza jambo, alipokuwa akizungumza na wafanykazi wa Baraza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza Ewura kufungua ofisi mikoani

BARAZA la Watumiaji wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura CCC) limesema mwaka huu wa fedha linatarajia kufungua ofisi katika ngazi ya mikoa ili huduma zake ziwafikie watumiaji wa huduma...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kawambwa azindua jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati)akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo...

 

10 years ago

Mtanzania

Profesa Muhongo akacha makabidhiano ya ofisi

prof muhongoNa Waandishi Wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, wamekacha makabidhiano ya ofisi hatua iliyofanya mawaziri wapya kukabidhiwa ofisi na watendaji.
Mialiko iliyokuwa imetolewa, ilisema mawaziri hao wangekabidhi ofisi kwa wateule wapya, William Lukuvi, aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na George Simbachawene wa Nishati na Madini.
Kutokana na kutotokea kwa Profesa Muhongo, ilimlazimu Simbachawene akabidhiwe ofisi na...

 

5 years ago

Michuzi

Migogoro ya ardhi kaa la Moto,Kufunguliwa ofisi za ardhi mikoani kuleta ahueni

Na Amiri kilagalila,Njombe Wananchi mkoani Njombe wamelalamikia kuchelewa kusikilizwa kwa Mashauri ya migogoro ya ardhi na kupelekea kuwaathiri kiuchumi wakati wakiendelea kufuatilia mashauri yanayosikilizwa na baraza ya ardhi. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wanaofika katika mabaraza ya ardhi yanayosuluhisha migogoro ya ardhi mkoani Njombe ambapo miongoni mwao akiwemo Remigius Ilomo na Geofrey Msambwa wamezungumzia kero wanayoipata na Kwamba Kumekuwa Kukiwaongezea Gharama kubwa...

 

9 years ago

Vijimambo

Profesa Mbarawa Azindua Kampeni ya Kuwania Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba.

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Profesa Mbarawa azindua kampeni za kugombea Ubunge Jimbo la Mkoani Pemba akiwahutubia wananchi.katika viwanja vya mpira Chokocho mkanyageni Pemba Profesa Mbarawa akiwahutubia Wananchi wa Mkoani wakati wa mkutano wake wa uzinduzi wa Kampeni ya Ubunge kugombea Jimbo la Mkoani uliofanyika katika viwanja vya chokocho mkoani Pemba Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkoani Pemba Profesa Mbarawa akiwahutubia na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani