Profesa Muhongo amuasa Simbachawene kuwa makini
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo amekabidhi ofisi kwa Waziri wa sasa, George Simbachawene katika hafla fupi iliyofanyika ofisini kwake na kumwambia awe makini katika utendaji kazi hasa kwenye mikataba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Jan
Simbachawene ashikilia msimamo wa Muhongo
WAZIRI mpya wa Nishati na Madini, George Simbachawene, amesema ni vigumu kupata mwekezaji mzawa katika kazi za uchimbaji wa gesi, kwa kuwa kazi hiyo ni gharama kubwa duniani na kampuni za uchimbaji gesi hazizidi kumi.
10 years ago
Habarileo01 Feb
Muhongo akabidhi ofisi kwa Simbachawene
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekabidhi rasmi wizara hiyo kwa waziri wa sasa, George Simbachawene, aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
10 years ago
Mwananchi16 Dec
Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--f_tW6sGZNQ/VMy10Y4cyHI/AAAAAAAHAg8/Sq9GI4UhiQA/s72-c/DSC_1008.jpg)
Prof. Muhongo akabidhi Ofisi kwa Simbachawene jijini dar leo
![](http://3.bp.blogspot.com/--f_tW6sGZNQ/VMy10Y4cyHI/AAAAAAAHAg8/Sq9GI4UhiQA/s1600/DSC_1008.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gW8SPwL1-_E/VMy4vQhIc7I/AAAAAAAHAhI/fEUyFYSZ02U/s1600/DSC_1042.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya...
11 years ago
Habarileo02 Feb
Profesa Muhongo acharuka
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.
10 years ago
Habarileo25 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
9 years ago
MichuziProfesa Muhongo aibana TANESCO
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
AREMA wampinga Profesa Muhongo
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VXdTgydjDI8/VoBKpT5DO7I/AAAAAAAIO8s/855BLgBB2Hs/s72-c/2ae85807-6a1a-4f5b-b7ec-4c2d83078f22.jpg)
ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA