Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simbachawene ashikilia msimamo wa Muhongo

Rais Jakaya Kikwete akimwapisha, George Simbachawene kuwa Waziri wa Nishati na Madini Ikulu jijini Dar es Salaam jana.WAZIRI mpya wa Nishati na Madini, George Simbachawene, amesema ni vigumu kupata mwekezaji mzawa katika kazi za uchimbaji wa gesi, kwa kuwa kazi hiyo ni gharama kubwa duniani na kampuni za uchimbaji gesi hazizidi kumi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Muhongo akabidhi ofisi kwa Simbachawene

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekabidhi rasmi wizara hiyo kwa waziri wa sasa, George Simbachawene, aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Muhongo amuasa Simbachawene kuwa makini

Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo amekabidhi ofisi kwa Waziri wa sasa, George Simbachawene katika hafla fupi iliyofanyika ofisini kwake na kumwambia awe makini katika utendaji kazi hasa kwenye mikataba.

 

10 years ago

Michuzi

Prof. Muhongo akabidhi Ofisi kwa Simbachawene jijini dar leo

Waziri  mpya wa Nishati na Madini,George Simbachawene (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati makabidhiano ya ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo,leo jijini Dar es Salaam.Waziri  mpya wa Nishati na Madini,George Simbachawene (kulia) akikabidhiwa rasmi nyaraka za ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo,leo jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Na Chalila Kibuda,Globu ya...

 

11 years ago

GPL

Maximo ashikilia usajili wa nyota wanne Yanga

Kocha Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa hatima ya wachezaji wao wanne ambao mikataba yao imemalizika, ipo chini ya kocha mpya, Mbrazili, Marcio Maximo. Mbrazili huyo hivi sasa yupo katika mazungumzo ya mwisho na klabu hiyo kwa ajili ya kutua kuja kukinoa kikosi hicho akimrithi Mholanzi, Hans van Der Pluijm. Nyota hao wanne ambao mikataba nayo imemalizika ni kipa Ali Mustapha...

 

5 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

11 years ago

Michuzi

Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi

Nuru Mwasampeta na Veronica Simba, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha inajengwa mitambo ya uchakataji madini (Mineral Processing Plants) hapa nchini ili kuondokana na utaratibu wa kusafirisha madini ghafi nje ya nchi na badala yake zisafirishwe bidhaa zitokanazo na madini husika ili kuongeza thamani na hivyo kukuza pato la nchi.  Aliyasema hayo  alipokutana na kuzungumza na Wawekezaji wa Kampuni ya Chinalco ya nchini...

 

9 years ago

Habarileo

Simbachawene: Madini yaliyochimbwa ni 10%

WAZIRI wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema bado Tanzania ina utajiri mkubwa wa madini kwani yaliyochimbwa ni asilimia 10 tu huku asilimia 90 yakiwa chini ya ardhi.

 

10 years ago

Mwananchi

Simbachawene awabana Tanesco

>Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amewaomba radhi Watanzania kwa kero ya huduma mbovu za umeme kwa njia ya mtandao, huku akisema hali ya upatikanaji umeme kwa njia hiyo sasa imerejea katika kiwango cha kuridhisha kupitia vituo mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simbachawene awaonya wajumbe

MJUMBE wa Bunge Maalumu, George Simbachawene, amewaonya wajumbe wenzake waache kumbeza Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba na rasimu ya Katiba iliyotolewa na tume hiyo.  Simbachawene alitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani