PROFESA MUHONGO ni MUATHIRIKA wa propaganda ya UDINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-D_z5YSnzaXM/U_jG9DkgraI/AAAAAAAGB0g/laIj1WtMM_I/s72-c/images.jpg)
Kumekuwepo na habari ambazo zimeendelea kushamiri kila uchao katika mitandao ya kijamii na pia habari hizo kuripotiwa na magazeti kadhaa, ambapo kwa mara ya kwanza gazeti la mtanzania la Jumanne ya tarehe 19th Aug 2014, kisha gazeti la Jambo leo la Alhamis ya tarehe 21st Aug 2014 na baadae gazeti la An nuur la Ijumaa ya tarehe 22ndAug 2014, kwa mfululizo, kwa mfanano wa dhamira na maandishi magazeti hayo yote yameandika habari ya upotoshaji, uchonganishi na kukuza chuki ya kidini hapa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
11 years ago
Habarileo02 Feb
Profesa Muhongo acharuka
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.
10 years ago
Habarileo25 Jan
Hatimaye Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VXdTgydjDI8/VoBKpT5DO7I/AAAAAAAIO8s/855BLgBB2Hs/s72-c/2ae85807-6a1a-4f5b-b7ec-4c2d83078f22.jpg)
ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA
9 years ago
MichuziProfesa Muhongo aibana TANESCO
Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe limekamilisha kufunga umeme kwenye Jengo la Ofisi za Serikali la Mpakani mwa Tanzania na Rwanda (One Stop Border post) lililopo eneo la Rusumo wilayani Ngara.
Agizo hilo limetolewa jana na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara kwenye Mpaka wa Tanzania na Rwanda kwa ajili ya kukagua maendeleo ya mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maji wa...
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Vita vya Profesa Muhongo
10 years ago
Mwananchi18 Oct
AREMA wampinga Profesa Muhongo
9 years ago
Bongo518 Aug
Aliyemuoa Meninah ni mtoto wa Profesa Muhongo
10 years ago
Habarileo09 May
Profesa Muhongo, Katibu Maswi safi
UCHUNGUZI dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na aliyekuwa Katibu wake, Eliakim Maswi, umebaini kuwa viongozi hao hawakukiuka maadili yoyote katika sakata la utoaji wa karibu Sh bilioni 300 zilizokuwa katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT).