Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Profesa Mwansoko aandaa Mhadhara wa ukuzaji wa Kiswahili

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga Mkurugenzi huyo anayemaliza muda wake wa utumishi wa umma.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni mchango wa Mkurugenzi wa Idara ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Ukuzaji wa Lugha ya Kiswahili

Watumiaji muhimu wa lugha ya Kiswahili nimewagawa katika makundi mawili. Kundi la kwanza ni wale wanaozungumza kwa maana ya kujadili jambo kwenye kongamano, semina, warsha au kuhutubia katika mikutano ya hadhara. Kundi la pili ni la waandishi wa magazeti, makabrasha, vipeperushi na wale wanaotangaza katika vyombo vya habari kama redio na runinga. Katika makundi hayo mawaili wote wanatakiwa kutumia lugha sanifu na fasaha kwa lengo la kuwaelimisha au kuwahabarisha watu.

 

9 years ago

Michuzi

Profesa Mwansoko awaaga watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni

Mkurugenzi wa maendeleo ya Utamaduni Profesa. Hermas Mwansoko akizungumza na watumishi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni wakati akiwaaga rasmi jana ofisini kwake. Mkurugenzi huyo anastaafu rasmi kuanzia tarehe 25 Desemba 2015.Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Utamaduni sehemu ya Sanaa Bibi. Leaha Kihimbi akielezea jambo wakati wa hafla ya kumuaga Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni anayemaliza muda wake Profesa Hermas Mwansoko (kulia) jana jijini Dar es Salaam.Afisa Utamaduni wa kutoka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni wa WHUSM Profesa Hermas Mwansoko aagwa rasmi

pics 1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga Mkurugenzi huyo anayemaliza muda wake wa utumishi wa umma.(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).

pics 2

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano na Viongozi wa Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU)

KAMATI YA LUGHA NA UTAMADUNIKamati ya Lugha na utamaduni, Jumuiya ya Watanzania Washington DC, Maryland na Virginia (DMV) inapenda kuwaalika wana DMV na wadau wote wa Lugha ya Kiswahili kwenye mkutano na viongozi wa Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) utakaofanyika siku ya Ijumaa Septemba 26, 2014 kuanzia saa nane mchana. Hii ni Fursa ya kukutana wa Wahadhiri wa lugha ya Kiswahili kutoka Vyuo mbali mbali hapa Marekani kwa lengo moja la kuendeleza lugha yetu ya Kiswahili. Anuani...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHAUKIDU na Tamasha la ukuzaji Kiswahili kufanyika Washington DC

Aprili 23 mwaka huu, Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (chaukidu) kinategemea kufanya mkutano mkuu wake, pamoja na tamasha la ukuzaji wa lugha ya Kiswahili.
Hayo yatafanyika hapa Washington DC.
Septemba mwaka jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa awali uliojadili mikakati ya mkutano na tamasha lijalo.
Baada ya hapo nilipata fursa kuzungumza na viongozi wa CHAUKIDU
Dr Leornard Muaka. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku. Na ni mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa WHUS, Prf. Elisante Ole Gabriel katika picha tukio la kumuaga Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko

pics 1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akifungua Mhadhara wa ukuzaji Kiswahili kupitia tafsiri ulioandaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko katika hafla ya kumuaga Mkurugenzi huyo anayemaliza muda wake wa utumishi wa umma.(Picha zote na Benjamin Sawe-WHUSM).

pics 2

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akipokea rasimu ya awali ya ukuzaji wa Kiswahili kupitia Tafsiri ikiwa ni...

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye atoa mhadhara wa uchumi Marekani

WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye ametoa mhadhara katika Chuo Kikuu cha Elizabeth City, Marekani na kueleza kuwa uchumi wa Tanzania unakua kwa wastani wa asilimia 7 kwa miaka 13 tangu mwaka 2000.

 

10 years ago

Mwananchi

Profesa Bagadanshwa: Profesa aliyeshinda vikwazo vya kuwa mlemavu wa kutoona

Baadhi ya watu wenye ulemavu wanathibitisha kuwa ulemavu si kikwazo cha binadamu kutafuta haki ya msingi ya kupata elimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani