Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Professa Jay awaalika mashabiki

RAPA mkongwe nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ametoa wito kwa wapenzi wa muziki wake anayetaka kuonekana katika video ya ngoma yake ya ‘Kipi sijasikia’ kujitokeza. Katika wimbo huo ambao ameshirikiana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Uzinduzi wa Video mbili za Professa J ulivyokonga nyoyo za mashabiki


Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa support. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.Msanii Professa J akitoa burudani.Msanii Professa J akizindua video zake.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Bongo Movies

Leo ni birthday ya mkongwe wa muziki nchini Professa Jay. Hizi ni baadhi ya salamu za pongezi alizopata.

 

Leo ni birthday ya kaka mkubwa Joseph Haule ama Professa Jay anayetimiza miaka kadhaa hapa duniani. Na hizi ndi baadhi ya salamu za pongezi alizozipata toka kwa mastaa mablimbali wa filamu na muziki nchini.

 

KAJALA  -  Hbd kaka mkuu nakutakia maisha mema yenye baraka tele Professa Jay

 

JACQUILNE WOLPER . Mungu Akupe Afya Njema Na Akulinde pamoja na Kuendelea Kukupa Mafanikio,Mambo Mengi Umeyafanya Kwenye Muziki Wetu. Respect Sana. Nakukubali sana kaka yangu naunajua

 

FLORAH...

 

9 years ago

Michuzi

SUGU, NATURE, PROFESSA J KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu.  Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha ...

 

9 years ago

Vijimambo

SUGU, NATURE, PROFESSA J, KALA JEREMIAH KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu. Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha msisitizo mbele...

 

11 years ago

GPL

LADY JAY DEE AWASHUKURU MASHABIKI BAADA YA KUPOKEA TUZO YA AFRIMMA

Tuzo ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jay Dee. Mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki, Lady Jay Dee. Lady Jay Dee ameipokea tuzo ya AFRIMMA ya mwimbaji bora wa kike Afrika Mashariki siku mbili baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo. Baada ya kuishika mkononi tuzo…

 

10 years ago

Mwananchi

Seif Hamad awaalika wawekezaji

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad amesema hali ya amani na utulivu katika eneo la Afrika Mashariki ni ya kuridhisha na ametoa wito kwa wawekezaji kutoka nje wenye nia ya kuwekeza wafanye hivyo bila hofu.

 

11 years ago

GPL

MZEE MAJUTO AWAALIKA WAOMBOLEZAJI KWENYE MSIBA WAKE

NI Wikiendi nyingine ambayo mapaparazi wetu, Dustan Shekidele ‘Mkude Simba’ Musa Mateja ‘Toz’ na Richard Bukos Mpigapicha Mkuu walijiachia viwanja mbalimbali kuwinda yaliyokuwa yakijiri na kumjuza moja kwa moja mkuu wao, Oscar Ndauka aliyekuwa makao makuu ya gazeti hili yaliyopo Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam. Msanii mkongwe na mkali wa maigizo na vichekesho, mzee Majuto (mwenye suti nyeupe) akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

DULLAH MSANGI AWAALIKA MARAFIKI KWENYE BBQ, HOOVER, ALABAMA.

 DJ Dullah Msangi aki-BBQ nyumbani kwake Hoover, Alabama. BBQ hiyo iliandaliwa kuadhimisha pasaka pamoja na kukaribisha baadhi ya ndugu kutoka Tanzania. Kutoka kushoto: Dullah, Victor, wakizungumza na Mama Mtui. Rafiki wa Dullah Msangi wakipata mlo aliowaandalia nyumbani kwake. Kutoka kushoto: Gerald, Awwal, na Victor. Wageni waalikwa wakifurahia mjumuiko wa chakula cha jioni nyumbani kwa Dullah Msangi. Kutoka kushoto ni Mtoto Caren, Mama Mtui, na bi harusi mtarajiwa Suzan, ambaye ni mchumba...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA PROFESSA KIVASI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath Kivasi, wakati alipofika kutoa pole nyumbani kwa marehemu Goigi jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 7, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimfariji mke wa ,marehemu Prof. Amelia Kivasi, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Goigi jijini Dar es...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani