Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi wa Video mbili za Professa J ulivyokonga nyoyo za mashabiki


Nguli wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule a.k.a Professa J jana aliweza kufanya vyema katika uzinduzi wa video zake mbili, 'Kipi Sijakisikia' na 'Tatu Chafu' uliofanyika jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na wasanii mbali mbali ambao walikuja kumpa support. PICHA ZOTE NA CATHBERT KAJUNA WA KAJUNASON BLOG.Msanii Professa J akitoa burudani.Msanii Professa J akizindua video zake.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Professa Jay awaalika mashabiki

RAPA mkongwe nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ametoa wito kwa wapenzi wa muziki wake anayetaka kuonekana katika video ya ngoma yake ya ‘Kipi sijasikia’ kujitokeza. Katika wimbo huo ambao ameshirikiana...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Uzinduzi wa video mbili za Professor Jay

Gwiji wa muziki wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule aka Professor Jay usiku wa Jumamosi aliwapa zawadi mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa kwenye uzinduzi wa video zake mbili mpya, Tatu Chafu na Kipi Sijasikia. Uzinduzi huo ulifanyika ndani ya ukumbi wa Ten Lounge zamani ukifahamika kama Letasi Lounge uliopo maeneo ya Victoria jijini […]

 

9 years ago

Michuzi

SUGU, NATURE, PROFESSA J KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu.  Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha ...

 

9 years ago

Vijimambo

SUGU, NATURE, PROFESSA J, KALA JEREMIAH KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu. Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha msisitizo mbele...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI VIDEO YA ‘HIP HOP DARASA’ YA FID Q WAVUTIA MASHABIKI

Mashabiki na wadau wa Ujamaa Hip Hop Darasa wakikunja ngumi kuonyesha ishara ya kusapoti video hiyo.     Logo ya Ujamaa Hip Hop Darasa.…

 

9 years ago

Global Publishers

Diamond alivyokonga nyoyo za mashabiki wake Dar Live

IMG_1377Staa wa Bongo fleva Diamond Platinumz akiimba kwa hisia.IMG_1394….Akicheza kwa mbwembwe.IMG_7155

IMG_7181

….Akicheza na madansa wake.

 

 

IMG_7201Diamond Platinumz akiwaimbisha mashabiki wake.

msagasumu akiimba wimbo wa shemeji unanitega (2)

Msagasumu akiwapagawisha mashabiki wake waliofurika kwenye ukumbi wa Dar Live.

msagasumu akikamua ngoma ya huyu mtoto

msagasumuu

….Akizidi kuwarusha.

 

10 years ago

GPL

2O PERCENT AIBUKIA MORO, AKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE!

Mkali wa Bongo Fleva, Abbas Kinzasa a.k.a 20 Percent akitoa burudani. Mkali wa Bongo Fleva, Abbas Kinzasa a.k.a 20 Percent akiwa na bendi yake ya Mwakaulwi Sound.…

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Alikiba azikonga nyoyo za mashabiki wa Kenya kwenye Koroga Festival

KOROGA FESTIVAL-0890

Fresh kutoka kutumbuiza mbele ya mastaa wa Hollywood jijini Los Angeles nchini Marekani kwenye hafla ya Wild Aid, Alikiba weekend iliyoisha alikuwa jijini Nairobi, Kenya kutumbuiza kwenye tamasha la Koroga.

KOROGA FESTIVAL-0890

Kiba aliyekuwa na bendi yake alidondosha show kali iliyosifiwa na maelfu ya wapenzi wa muziki huku akiwapa mashabiki wa kike wakipendacho zaidi kwa kuwaonesha kifua chake cha gym.

KOROGA FESTIVAL-0712

Wakati akitumbuiza wimbo wake Mwana, Kiba aliichana vest yake nyeusi na kuzionesha abs zake mbele ya umati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani