Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSPF YATAHADHARISHA UMMA DHIDI YA MATAPELI WANAOTUMIA SMS ZA UWONGO

Mfuko wa Pensheni wa PSPF unapenda kuwataarifu  wananchi wote kuwa, hivi karibuni kumekuwa na watu au kikundi cha watu wanaosambaza taarifa potofu kwa wanachama wa PSPF kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu ya mkononi kwa nia ya kuwatapeli.  Taarifa hizo zinazotolewa siyo sahihi na PSPF inawaomba wanachama wake kuchukua tahadhari dhidi ya ujumbe huo wa kupotosha unaosambazwa kwa njia ya simu na watu au kikundi cha watu wakidai kuwa ujumbe huo unatoka PSPF.  PSPF inatoa huduma mbalimbali kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LULU ALIA NA MATAPELI WANAOTUMIA JINA LAKE FACEBOOK

Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’. Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’.amesikitishwa na watu wanaotumia akaunti fake za mitandao ya kijamii yenye jina lake na kuchangisha michango kwaajili ya mfuko wa marehemu Steven Kanumba kwa madai kuwa wanasaidia wasiojiweza. Kupitia Instagram, Lulu amesema:
“Dah sijui niseme vipi…hizi facebook accounts sio zangu…kama huyu anaomba...

 

11 years ago

Michuzi

PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA

BAADHI YA MAOFISA KUTOKA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA Umma 'PSPF' WAKIWA TAYALI KUWASIKILIZA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA. Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia  akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimpatia mahelezo mmoja ya wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA:MATAPELI KUTUMIA JINA LA KAMPUNI

 KAMPUNI YA STAMIGOLD MGODI WA BIHARAMULO
Kufuatia wimbi la Matapeli kutumia jina la kampuni wakidai kuwa wao ni wafanyakazi wa STAMIGOLD wenye uwezo wa kutoa ajira katika mgodi wa Biharamulo , kampuni ingependa kuchukua fursa hii kuutahadharisha Umma wa Watanzania kama ifuatavyo:
1. Nafasi zote za ajira zilizopo au zinazotokea katika kampuni hutangazwa kupitia magazeti ya Serikali hususani Daily news.
2. Kampuni haina utaratibu wa kufanya usaili (Interview) kwa njia ya simu.
3. Maeneo...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

TMA yatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko la joto, Mvua kubwa isiyotabirika yaja, TMA yatahadharisha wananchi

Dar es Salaam. Mvua kubwa isiyotabirika inatarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hasa katika ukanda wa Pwani ya Kaskazini, maeneo ya Dar es Salaam, Tanga, Unguja na Pemba; pia katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kwa mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara.Akitoa taarifa ya hali ya hewa jana kwa Januari na Februari mwaka ujao, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk Agness Kijazi alisema mvua ya msimu katika maeneo hayo inatarajiwa kwisha leo.Hata hivyo,...

 

10 years ago

GPL

PSPF YATOA ELIMU KATIKA WIKI YA MAONESHO YA UTUMISHI WA UMMA

Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF Bw. Abdul Njaidi (kulia) juu ya shughuli mbalimbali za PSPF, wengine ni Katibu Mkuu Ofisiya Rais (Utumishi) Bw. Habib Mkwizu (kushoto) na Bw. Joseph Lyimo, ambaye ni Afisa wa PSPF. Mhe. Sefue alitembelea banda la PSPF katika maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI PSPF WATUA MWANZA KUANGALIA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUHAMASISHA UMMA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Bw. Evarist Ndikilo (Kushoto) akijadiliana jambo na ujumbe kutoka mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko huo, Bw. Adam Mayingu (kulia), lengo la ziara hiyo ni kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.

 

11 years ago

GPL

PSPF KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA JUU YA MAFAO WAYATOWAYO VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR

Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia  akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma. Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia na ofisa wa mfuko huo Bi, Leila Laizer wakimpatia maelezo Bw,Kambilo Crement wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani