PSPF YATOA MSAADA WA KOMPYUTA 12 KWA VYUO VIWILI BAGAMOYO
Afisa Mahusiano wa PSPF Coleta Mnyamani kushoto Akimkabidhi Msaada wa Kompyuta Mkuu wa Chuo Kikuu teule cha Marian Father Luke Mbefo ambapo Kompyuta hizo zitatumika katika Kuhifadhi Nyaraka mbalimbali za Maktaba
Mkuu wa Chuo Kikuu teule cha Marian Father Luke Mbefo kulia akimshukuru Afisa Mahusiano wa PSPF Bi. Coleta Mnyamani kwa msaada huo
Mwakirishi wa Shirika la Roho Mtakatifu Father Nicetas Kyara akitoa neno la Shukurani Baada ya kukabidhiwa msaada wa Kompyuta Mbili za kisasa kutoka...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa mafuta, kofia, pikipiki na kompyuta kwa albino
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*x4RtjZ2BFUAXi8ra-cn-5WkNRxJmf6Nizj2-mb77TWNVBpvVe4SehdyD8cjRwT7XpK5RmpvW6h1iZT14VrLVj-f2oevpt43/PSPF1.jpg?width=650)
PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xviiq3LRwyY/XkWlXmqIl5I/AAAAAAALdUU/ACIDcME5fjk_AfeL6ZcAlofFzEVHhwzqgCLcBGAsYHQ/s72-c/0081bbd4-5769-4261-bae6-deaf7636066b.jpg)
TCRA Kanda ya Mashariki yatoa Elimu ya Utumiaji wa Mawasiliano Katika Vyuo viwili wilayani Nachingwea
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Nachingwea
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki imetoa elimu ya Mawasiliano katika vyuo viwili Wilayani Nachingwea ili kuwapa elimu ya uelewa Wanafunzi na walimu namna ya kutumia mawasiliano hayo kwa usalama.
Vyuo vilivyopata elimu ya Utumiaji wa Mawasiliano ni Chuo cha Uuguzi na Ukunga pamoja na Chuo cha Ualimu.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyuo hivyo Mkuu wa Kanda ya Mashariki wa (TCRA) Mhandisi Lawi Odiero amesema kuwa...
10 years ago
MichuziBenki ya NBC yatoa msaada wa madawati kwa Shule ya Msingi Mlingotini mjini Bagamoyo
10 years ago
Dewji Blog19 May
Kampuni ya Tigo yatoa msaada wa Kompyuta hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza
Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akimkabidhi Mkuu wa wilaya Nyamagana, Mhe. Baraka Konisaga, moja ya kompyuta 25 zilizotolewa msaada na kampuni ya Tigo kwa hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza leo asubuhi.
Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Mhe. Baraka Konisaga akizungumza jambo na Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez, katikati ni Mwenyekeiti wa bodi ya hospitali ya Sekou Toure Mkoani Mwanza Christopher Mwita Gachuma mara baada ya kukabidhi komputa 25 kwa hospitali hiyo.
Meneja Mkuu wa Tigo...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9YTPB79eNT0/VBlsAAVgjdI/AAAAAAAGkDw/QxSzT-kFR1Q/s72-c/unnamed%2B(54).jpg)
Mahakama ya Umoja wa Mataifa ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda (UN-ICTR) Yatoa Msaada wa Kompyuta Arusha
Ofisi ya ya Mkuu wa Mkoa yenyewe iliongezewa gari moja la deraya na ulinzi. Makabidhiano hayo yalifanya mjini Arusha...
10 years ago
MichuziPSPF YATOA MSAADA WA MABATI 300
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-LHPZ7-a_r_8/VV2ZGspLtFI/AAAAAAAAbAM/WYTzcvCs1QQ/s640/PIC3%2Bc.jpg)
BALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA KATIKA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWA WANAFUNZI WA VYUO MBALIMBALI JIJINI MWANZA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5uF7oHUYKs4/VdsgPhEGgmI/AAAAAAAAYLw/g5nGhl871Qo/s72-c/magodoro1.jpg)
PSPF YATOA MSAADA WA MAGODORO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
![](http://4.bp.blogspot.com/-5uF7oHUYKs4/VdsgPhEGgmI/AAAAAAAAYLw/g5nGhl871Qo/s640/magodoro1.jpg)