Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PUNDA WA MKEO MPIGE APIGIKE, NDIYO STAREHE YAKE

Mu hali gani mabibi na mabwana kwa kukutana siku ya leo, najua sasa hivi mpo kwenye kimuhemuhe cha uchaguzi, mpaka uishe kuna wasiwasi wa ndoa nyingi kuvunjika pale unapokuwa tofauti kati ya mume na mke kushabikia vyama tofauti. Leo yangu si hayo, yaliyonichosha rohoni na kunikosesha raha ni tabia za baadhi ya akina baba kuwageuza wake zao kama dada zao na mahawara ndiyo wake zao. Nikisema hivi ni maana gani? Kuna wanaume wengine...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Kuoa wake wanne sawa, lakini mpe mkeo haki yake!

15_forgotten_habits_of_happy_couples_01Asalam alaikum wapenzi wasomaji wangu wote ambao mmekuwa pamoja katika mada zangu ninazotoa kila wiki, kwa wale wagonjwa poleni sana.

Leo nimeamua kuja na mada hii kwa sababu nimepata malalamiko kutoka kwa msomaji wangu aliyeamua kunywa sumu baada ya kuona mume wake ameoa bila kumwambia na kusubiri kuambiwa na jirani yake aliyempelekea umbeya.

Hivi wanaume mnadhani ni sahihi kuoa bila kuwaandaa wake zenu? Je, dini inasemaje katika suala hili, hakika kama wewe ni muumini wa dini inayoruhusu...

 

10 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU

Na Haruni Sanchawa
MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...

 

10 years ago

GPL

POLISI ALIYEUAWA AKIMUOKOA MTOTO, HAYA NDIYO MANENO YAKE YA MWISHO!

Na Mwandishi Wetu/Uwazi KILA nafsi itaonja mauti! Maneno ya mwisho ya Koplo Joseph Isaac Swai (27) aliyeuawa kwa kucharangwa mapanga na Tisi Sirili Mallya (29) katika zoezi la kumwokoa mtoto Valerian Tisi (miezi nane) asichinjwe, yanazidi kuzua simanzi, Uwazi limenasa mkononi. Marehemu, Koplo Joseph Isaac Swai (27) enzi za uhai wake. Katikati ya wiki iliyopita, eneo la Chang’ombe mjini hapa, Koplo Swai aliyekuwa akitumia...

 

10 years ago

Vijimambo

BIRTHDAY GIRL WEMA HII NDIYO ZAWADI YAKE KUTOKA KWA MR PLATNUMZ


Jitiririshe na surprise gift ya birthday ya Wema na utakubari mapenzi yao na Diamond ni Special given. Habari ndiyo hiii mambo mengine mwachie baba na mama na movie hii siyo ya leo wala kesho.

 

10 years ago

GPL

SHOGA: MPIGE ‘STOP’ MUMEO KUCHEKA NA SHOGA ZAKO!

Shoga, ni matumaini yangu hali yako ipo poa na unaendelea kusaka ugali wa kula watoto kama kawaida.
Kwa upande wangu namshukuru Mwenyezi Mungu, afya yangu, wanangu na mume wangu ni nzuri kabisa.
Baada ya wiki iliyopita kuzungumza nawe kuhusu kuyafanyia kazi yote uliyofundishwa na kungwi wako ili umpagawishe mumeo na kumfanya atulie nyumbani, leo nimekuandalia kitu tofauti. Nafanya hivyo ili kuufungua ubongo wako katika suala...

 

11 years ago

GPL

USIPORIDHIKA NA KUMSIFIA MKEO, WENZAKO WATAMSIFIA - 2

Mpenzi msomaji wangu, kuna wanaume naweza kusema hawajui mapenzi ni nini na vipi yanaweza kuboreshwa. Baadhi yao wanapuuza vitu vidogovidogo ambavyo huenda wangevifanya vingeliboresha penzi lao. Kabla ya kwenda kwenye mada yenyewe, nikupe kisa kimoja. Kuna dada mmoja ameolewa na anafanya kazi benki. Dada huyu kila akitoka hujitahidi kuvaa vizuri lakini mume wake hajawahi kumwambia amependeza. Mwanamke huyo akitoka nyumbani kwake...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mufti asema unaweza 'kumla' mkeo Saudia

'Ni sawa kumla mkeo unapohisi njaa kali nchini Saudi Arabia,kulingana na mufti mkuu nchini humo.

 

9 years ago

GPL

KWA NINI HAWARA ALE CHA MKEO?

Asalam alaikum, bwana Yesu asifiwe. Poleni kwa majukumu ya wikiendi na ni matumani yangu wazima na wale wagonjwa nawaombea dua mtapona ishallah. Nashukuru kwa kunisoma kwani napata ujumbe wenu na naona jinsi mnavyofaidika kwa mada ninazowaletea.
Ukiandika kitu ukaona watu wanakutafuta na kukupa hongera unajivunia kwani unaamini wanakipenda kile unachowaandikia. Leo nimekuja na mada hii ili kuwasema akina baba wenye tabia ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani