Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Putin hataki kura ya maoni Ukraine sasa

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, ametoa wito kwa makundi yanayotaka kujitenga Ukraine waahirishe kura ya maoni ya Jumapili.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kura ya maoni katika majimbo ya Ukraine

Kura ya maoni yafanyika katika majimbo ya Donetsk na Luhansk yaliyoko mashariki mwa Ukraine .

 

5 years ago

BBCSwahili

Vladimir Putin: Kura itakayomuwezesha Putin kuwa madarakani miaka 36

Kwa miaka 20 Vladimir Putin amekuwa Rais au Waziri mkuu wa Urusi, lakini je ataendelea kuwa madarakani au la?

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Piga kura ya maoni sasa

Bonyeza hapa kupiga kura online

The post Piga kura ya maoni sasa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Habarileo

Kura ya Maoni sasa hatihati

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.UWEZEKANO wa kufanyika kwa Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, umeanza kupungua na kusababisha Kamati Kuu (CCM) ya Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, kuagiza Serikali na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutafakari upya kura hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria ya ndoa sasa kupigiwa kura ya maoni

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki amesema kuwa Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 iko kwenye mchakato wa kurekebishwa kutokana na utata unaokinzana na sheria nyingine za masuala ya kijinsia.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuliwabeza, sasa tunawasifu kuhusu kura ya maoni

Kama wanasiasa wetu wangekuwa ni watu wenye kufanyia kazi maoni yanayotolewa na wananchi pengine wangeepuka mambo mengi ambayo yanakuja kuwazonga au kuleta malalamiko baadaye.

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

11 years ago

BBCSwahili

Putin na Obama wazungumzia Ukraine

Rais wa Urusi Vladimir Putin na Barack Obama wa Marekani wamefanya mazungumzo kuhusu mzozo wa Ukraine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Putin azungumzia machafuko Ukraine

Rais Vladimir Putin wa Urusi ameitaka serikali ya Ukraine kusitisha mapigano mashariki mwa nchi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani