Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Radi yaua mtu mmoja Mbozi na kujeruhi 11

Mtu mmoja amekufa na wengine 11 kujeruhiwa kwa kupigwa na radi katika vijiji vinne tofauti wilayani hapa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Betty baada ya kupigwa risasi leo asubuhi huko Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam ukiwa umesitiriwa kwa kufunikwa na khanga.Gari alilokuwa amepanda marehemu betty likiwa limedumbukia mtaroni kutokana na dereva wa gari hilo mali ya kampuni ya ulinzi ya Tunu kupigwa risasi ya mkono mara baada ya kukataa kusimama wakati alipoambiwa kufanya hivyo na majambazi.
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...

 

11 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya AU yaua mtu mmoja CAR

Majeshi ya Umoja wa Afrika yamewafyatulia risasi waandamanaji katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na kumuua mtu mmoja

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:AJALI YAUA MTU MMOJA IRINGA

baada ya ajali hiyo,  Inavyoonekana kwa nyuma hii ni sehemu ya mbele ya gari hilo Scania lililogongwa kwa nyuma. Sehemu ambayo gari hilo dogo liliingia. AJALI mbaya iliyohusisha gari dogo aina ya Land Rover Freelander lenye namba T368 CVK na roli la mizigo aina ya Scania lenye namba T346 BRF imetokea usiku wa juzi katika eneo la Lugemba, kilomita kadhaa kabla ya kufika mji wa Mafinga.
Taarifa za awali zinaonesha kwamba dereva wa gari hilo jina lake bado halijapatikana ...

 

9 years ago

Mtanzania

Mapigano ya wakulima, wafugaji yaua mtu mmoja, ng’ombe 71 Morogoro

FB_IMG_1450111743756NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO

MTU mmoja amefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa, akiwamo askari polisi mmoja baada ya kutokea mapigano kati ya wakulima na wafugaji katika Kijiji cha Dihinda, Kata ya Kanga, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Dihinda, Hariri Kilama, alisema tukio hilo lilitokea Desemba 11, saa 11 jioni.

Kwa mujibu wa Kilama, tukio hilo lilisababishwa na mfugaji mmoja aliyejulikana kwa jina...

 

10 years ago

Mwananchi

Radi yaua wanafunzi 6 na mwalimu

Watu nane wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na radi ambayo chanzo chake kimeelezwa kuwa ni kunyesha kwa mvua kubwa iliyodumu kwa takribani saa tatu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Radi yaua wanafunzi watatu

WANAFUNZI watatu wa shule ya msingi wilayani Mpanda, Katavi wamefariki dunia kwa kupigwa na radi katika matukio mawili tofauti. Akielezea matukio hayo jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Radi yaua mwanafunzi Mtumbya

MVUA za vuli zilizoambatana na upepo mkali na radi zinazoendelea kunyesha mkoani hapa, zimesababisha kifo cha mwanafunzi mmoja wa Shule ya Msingi Mtumbya iliyoko katika Kijiji cha Ujamaa Mtumbya wilayani...

 

10 years ago

Habarileo

Radi yaua mwalimu, wanafunzi sita

WATU saba wakiwamo wanafunzi sita wa darasa la nne katika shule ya msingi Nyakasanda na Mwalimu wa shule hiyo, Anderson Kibada wamekufa baada ya kupigwa na radi huku watu wengine 11 akiwemo Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Laurence Sesegwa (42) wakijeruhiwa.

 

10 years ago

Mtanzania

Radi yaua wanafunzi sita darasani

NA EDITHA KARLO, KIGOMA

WATU nane wakiwamo wanafunzi sita wa Shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi.
Pamoja na vifo hivyo, wanafunzi wengine 15 wa shule hiyo walijeruhiwa vibaya.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma, Maweni, Dk. Fadhili Kabaya alithibitisha kupokea miili ya marehemu pamoja na majeruhi.
Alisema tukio hilo, lilitokea jana saa 6 mchana wakati mvua kubwa iliyoambatana na radi ikinyesha.
“Tumepokea majeruhi 15 wa tukio hili,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani