Raia wa India awekwa Karantini
India imemuweka karantini mwanaume mmoja ambaye alipatiwa matibabu baada ya kuathirika na ugonjwa wa Ebola nchini Liberia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU WA ISRAEL AWEKWA KARANTINI
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na wasaidizi wake wa karibu wamewekwa karantini baada ya mfanyakazi katika ofisi yake kupimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa wa corona.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu huyo mwenye umri wa miaka 70, imeeleza kuwa uamuzi wa kumuweka karantini ni kwa lengo la kuchukua tahadhari tu, kwasababu hata hivyo kiongozi huyo hajahusiana wala kugusana na mfanyakazi huyo mwenye maambukizi ya Covid-19
Taarifa zimeeleza kuwa kwa uchunguzi...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu huyo mwenye umri wa miaka 70, imeeleza kuwa uamuzi wa kumuweka karantini ni kwa lengo la kuchukua tahadhari tu, kwasababu hata hivyo kiongozi huyo hajahusiana wala kugusana na mfanyakazi huyo mwenye maambukizi ya Covid-19
Taarifa zimeeleza kuwa kwa uchunguzi...
5 years ago
MichuziMWANDISHI AWEKWA KARANTINI, ASHINDWA KUHUDHURIA KESI YAKE
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa anayekabiliwa na kesi ya uchochezi pamoja na wenzake watatu aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu yupo kwenye uangalizi huko Visiwani Zanzibar, (karantini).
Wakili wa serikali, Sylvia Mitanto amedai hayo leo Aprili 23,2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa lakini mshitakiwa Idrissa yupo karantini na Lissu hayupo mahakama.
Mbali...
Wakili wa serikali, Sylvia Mitanto amedai hayo leo Aprili 23,2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa lakini mshitakiwa Idrissa yupo karantini na Lissu hayupo mahakama.
Mbali...
10 years ago
Mwananchi13 Feb
Raia wa india jela miaka mitatu
RAIA wa India, Santnam Singh (43) amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh 380,000 baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na kisu katika Uwanja wa Kimataifa wa Julias Nyerere (JNIA).
9 years ago
BBCSwahili09 Sep
Ubakaji:India inamchunguza raia wa Saudi A
Mfanyikazi wa ubalozi wa Saudi Arabia anadaiwa aliwabaka wafanyikazi wawili wa nyumbani raia wa Nepal
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Raia wachoma magari ya hospitali ,India
Makundi ya raia wenye hasira kutoka vijiji vya Mashariki mwa wamevamia hospitali ya serikali na kuchoma moto magari.
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Raia wa India atengeneza gari kubwa duniani
Mchoraji wa miundo ya magari nIndia Sudhakr Yadav amejaribu kuweka rekodi ya pili ya Guiness kwa kutengeneza gari kubwa zaidi duniani.
5 years ago
MichuziRAIA WAWILI WA INDIA WAHUKUMIWA, KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 230
Wafanyabiashara wawili raia wa India waliohukumiwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wamehukumiwa kutumikia kifungo cha nje kwa mwaka mmoja na kulipa faini ya sh. Milioni 230 baada ya kukiri shtaka moja lililokuwa linawakabili la kukutwa na mazao ya misitu (magogo) yenye thamani ya sh. Milioni 505.1 bila ya kuwa na kibali cha wakala wa Misitu, (TFS).
Baadhi ya Magogo yaliyo kwenye makontena ambayo walikutwa nayo wafanyabiashara wa nchini India.
Na Karama...
5 years ago
BBCSwahili15 May
Virusi vya Corona: Raia 246 wa Tanzania waliokwama India warejea nyumbani
Bi. Saada raia wa Tanzania aliyekuwa amekwama nchini India. Ameieleza BBC juu ya furaha ya kurejea nyumbani.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Kenya: Raia alichapwa viboko na raia wa China baada ya kusemekana alichelewa kazini
Kenya raia wanne wa Uchina wamekamatwa na polisi Kenya baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikionesha mkenya akichapwa viboko.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania