Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU WA ISRAEL AWEKWA KARANTINI

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na wasaidizi wake wa karibu wamewekwa karantini baada ya mfanyakazi katika ofisi yake kupimwa na kukutwa na virusi vya ugonjwa wa corona.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu huyo mwenye umri wa miaka 70, imeeleza kuwa uamuzi wa kumuweka karantini ni kwa lengo la kuchukua tahadhari tu, kwasababu hata hivyo kiongozi huyo hajahusiana wala kugusana na mfanyakazi huyo mwenye maambukizi ya Covid-19

Taarifa zimeeleza kuwa kwa uchunguzi...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa India awekwa Karantini

India imemuweka karantini mwanaume mmoja ambaye alipatiwa matibabu baada ya kuathirika na ugonjwa wa Ebola nchini Liberia

 

5 years ago

Michuzi

MWANDISHI AWEKWA KARANTINI, ASHINDWA KUHUDHURIA KESI YAKE

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Mawio, Jabir Idrissa anayekabiliwa na kesi ya uchochezi pamoja na wenzake watatu aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu yupo kwenye uangalizi huko Visiwani Zanzibar, (karantini).
Wakili wa serikali, Sylvia Mitanto amedai hayo leo Aprili 23,2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kusikilizwa lakini mshitakiwa Idrissa yupo karantini na Lissu hayupo mahakama.
Mbali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Israel alionya Hamas

Waziri mkuu nchini Israel amesema kundi la Hamas litagharamika vibaya kufuatia mauaji ya kijana mmoja wa miaka minne huko israel.

 

9 years ago

Global Publishers

Waziri mkuu wa zamani wa Israel ahukumiwa kwenda jela

Olmert Ehud

Ehud Olmert

Jerusalem, Israel
Mahakama Kuu ya Israel, imemhukumu aliyekuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kuanzia mwaka 2006-2009, Ehud Olmert kifungo cha miezi 18 jela baada ya kukutwa na hatia kwenye makosa ya kula rushwa yaliyokuwa yanamkabili.
Awali, Mei, 2014, Olmert alihukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kufuatia kukutwa na hatia katika makosa ya kupokea rushwa katika kipindi cha 1993 hadi 2003 alipokuwa Meya wa Jiji la Jerusalem. Baada ya hukumu ya awali, Olmert alikata rufaa na baada ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Papa Francis, Waziri Mkuu Israel walumbana kuhusu Yesu

Malumbano makali ya maneno na hoja yamezuka baina ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kuhusu lugha gani aliyotumia Yesu Krtisto miaka 2,000 iliyopita.

 

5 years ago

Michuzi

Zaidi ya wanajeshi elfu moja (1000) wa Israel wawekwa chini ya karantini kwa corona

 Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetangaza kuwa, wanajeshi 1040 wa utawala huo ghasibu wamewekwa chini ya karantini kutokana na virusi vya corona.

Televisheni ya al Alam imenukuu taarifa iliyotolewa na Aviv Kochavi, mkuu wa majeshi ya Israel akisema kuwa, utawala huo umechukua hatua hiyo ili kupunguza idadi ya wanajeshi wake waliokumbwa na virusi hatari vya corona.

Siku ya Ijumaa pia utawala wa Kizayuni ulitangaza kuwa, mwanajeshi yeyote wa utwaala huo hana ruhusa ya kuondoka kwenye...

 

9 years ago

Habarileo

‘Waziri’ Masha awekwa kizimbani Dar

ALIYEWAHI kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha (45) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kutumia lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA MKOA SIMIYU: HATUTAWAWEKA KARANTINI WASAFIRI WA NDANI YA NCHI

 Mtalaam wa Afya akipuliza dawa katika gari linalofanya safari zake kutoka Bariadi Mkoani Simiyukwenda jijini Dar es Salaam leo Aprili 17, 2020 wakati wa kuhamasisha zoezi endelevu la upuliziaji dawa katika magari ya abiria ambalo limekuwa likifanyika katika kituo cha Mabasi cha Somanda Mjini Bariadi na Vituo vingine  ikiwa ni moja ya jitihada za kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona.
 Mtalaam wa Afya akipuliza dawa katika gari linalofanya safari zake kutoka Bariadi Mkoani Simiyu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani