Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS DK. JOHN MAGUFULI ATANGAZA SHULE ZOTE ZIFUNGULIWE JUNI 29,2020

*Pia kurejesha shughuli zote zilizosimama...asema maisha lazima sasa yaendelee

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
RAIS Dk.John Magufuli ametangaza rasmi kuwa Juni 29,2020 shule zote ambazo zilikuwa zimefungwa kwasababu ya janga la Corona zifunguliwe huku akitumia nafasi hiyo pia kutangaza kurejesha shughuli zote za kijamii na kimaendeleo ambazo nazo zilisimama.

Ametoa kauli hiyo leo Juni 16,2020 Bungeni Mjini Dodoma wakati akitoa hotuba ya kuvunja Bunge la 11 ambalo limemaliza muda wake rasmi leo,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA KUFUNGULIWA SHULE ZOTE ZILIZOKUWA ZIMEFUNGWA KISA CORONA, JUNI, 29, 2020

  Rais Magufuli ametangaza kufungua shule zote  nchini na shughuli zingine za kijamii zilizokuwa zimesitishwa kisa ugonjwa wa Corona
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo Jumanne June 16, 2020 wakati akilihutubia Bunge kabla ya kulifunga ili kupisha mchakato wa uchaguzi wa Rais, Bunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Octoba Mwaka huu
Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana
“Kutokana na mwendendo wa corona kuendelea kuwa mzuri, corona imepungua sana, naomba nitangaze...

 

5 years ago

BBCSwahili

Rais Magufuli atangaza kufungua shule zote Juni, 29

Rais wa Tanzania, John Magufuli ametangaza shule zote zilizokuwa zimefungwa na shughuli zote zilizokuwa zimezuiwa kwa ajili ya kudhibiti kasi ya maambukizi ya virusi vya corona zitafunguliwa Juni, 29.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais Magufuli atangaza vyuo vikuu kufunguliwa Juni 1

Taasisi zote za elimu Tanzania zimefungwa toka mwezi Machi.

 

9 years ago

Vijimambo

FFU-UGHAIBUNI WANAZO SABABU ZOTE ZA KUMKUBALI JOHN MAGUFULI

Kiongozi wa bendi maarufu ya muziki wa dansi barani UlayaNgoma Africa band, Kamanda Ras Makunja amefunguka kwa kusema kuwayeye na kikosi kazi chake wanazo sababu zote za kumkubali mgombea urais wa chama tawala Mheshimiwa John Pombe Magufuli ashinde kwa kishindo kikubwa katika uchaguzi mkuu utakao fanyika 25 oktoba 2015.Mkuu huyo wa Ngoma Africa band akikaririwa bila kigugumizi ameweka wazi kuwa John Magufuli anatufaa kuwa Rais wa nchi yetu na tunazo sababu zote za kumkubali,mwanamuziki...

 

9 years ago

Press

Tanzania: Our next Commander in Chief, Dr John Pombe Magufuli, (2015-2020)

magufuli

Do we expect any positive impacts on the tourism sector?

few days has passed since the announcement of the winner of presidential chair of the United Republic of Tanzania by the retired Judge Damian Lubuva from National Electoral Commission (NEC) -Dr. John Pombe Magufuli won with 58.46% of the total valid votes.

On his side, Andrea Guzzoni, Country manager of Jovago Tanzania expresses his admiration of the entire electoral process which was undertaken in a peaceful environment.

“A Peaceful...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU YA KIFO CHA RAIS NKURUNZIZA WA BURUNDI

Pierre NkurunzizaIkulu, Chamwino.
Rais Dk. John Magufuli ametangaza maombolezo ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia kesho Juni 13, 2020 kufuatia kifo cha Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kilichotokea Juni 09, 2020 nchini Burundi.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu jijini Dodoma imesema katika kipindi chote cha siku tatu za maombolezo hayo ambayo yataanza leo, hadi keshokuwa bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti.

Taarifa hiyo imesema, Rais Magufuli ameeleza kuwa Tanzania inatoa heshima hiyo kwa kifo...

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI

Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.Mawaziri - George Simbachakene  na Angella KairukiNaibu Waziri - Sumeilam Jafo. Naibu.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na MazingiraWaziri - January MakambaNaibu Waziri – Luhaga Jerrson MpinaOfisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na WalemavuWaziri - Jenista MuhagamaMaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.Wizara ya Kilimo, Mifugo na UvuviWaziri - Mwigulu NchembaNaibu Waziri - William Ole NashaWizara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani