Rais Jonathan atapenya tundu la sindano 2015?
NOVEMBA 11 mwaka huu, Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan alitangaza rasmi nia yake ya kuwania kiti cha urais kwa muhula mwingine wa pili, katika uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Februari mwaka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania03 Oct
Katiba yapenya tundu la sindano
![Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakicheza ndani ya ukumbi wa bunge Dodoma](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/10/mduara-bungeni.jpg)
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wakicheza ndani ya ukumbi wa bunge Dodoma
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa inaonekana kuigawa nchi, baada ya wajumbe wa Bunge Maalumu kuipitisha mjini Dodoma jana.
Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kura ambazo zilionyesha kupatikana kwa theluthi mbili upande wa Tanzania Bara na Zanzibar, wananchi wa kada tofauti, viongozi wa kisiasa, dini, wasomi na taasisi mbalimbali wameonyesha wazi kutofautiana.
Miongoni mwa makundi hayo,...
11 years ago
Dewji Blog08 May
Rais Kikwete akutana na Rais Jonathan wa Nigeria
Rais Jakaya Kikwete na Rais Goodluck Jonathan jijini Abuja, NIgeria leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Alhamisi, Mei 8, 2014, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Nigeria, Mheshimiwa Goodluck Jonathan katika Hoteli ya Transcorp Hilton katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Abuja.
Katika mazungumzo hayo, Rais Kikwete kwa mara nyingine, amewasilisha rambirambi rasmi za Tanzania, za Watanzania na za kwake mwenyewe kwa kiongozi huyo wa Nigeria...
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Rais Jonathan ang'aka ye si mkwasi
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
Rais Goodluck Jonathan aomba msaada
10 years ago
BBCSwahili10 Sep
Rais Jonathan - mabango yang'olewe
11 years ago
BBCSwahili16 May
Rais Goodluck Jonathan kuzuru Chibok
11 years ago
Mwananchi31 Dec
Rais Kikwete ampiga kijembe Tundu Lissu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4VCpdnaUHLaibGmjjWbKgZtg2NuBeR8xNguojquVlcPHcEnSR8OMKTzT9uGIvq8p-y3GNmJr94s9pGqEjCq32Ua/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
SINDANO WEE ZISIKIE TU!