Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AELEKEA NCHINI MAREKANI LEO

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yakeRais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aelekea nchini Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumamosi, Machi 28, 2015 kwenda Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.

Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC – UN).

 

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

29 Machi, 2015

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aelekea nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka leo tarehe 25 Februari, 2015 kuelekea Lusaka Zambia kwa ajili ya ziara ya kikazi ya  siku mbili  kufuatia mwaliko kutoka kwa Rais Edgar Chagwa Lungu wa Zambia.

Viongozi hao wanatarajia kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi mbili hizi ikiwemo suala la reli ya Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA),  inayounganisha Tanzania na Zambia.

Hivi karibuni Reli ya TAZARA imekuwa ikikabiliwa na changamoto...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AELEKEA GENEVA LEO KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM...

 

10 years ago

Michuzi

JK aelekea marekani leo

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw.  Aboubakar Juma leo Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York.
Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C.
Mjini New York, Rais Kikwete atashiriki katika mikutano...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani, jijini Nairobi leo

unnamed (2)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi yuko...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS Kikwete akutana na Bibi yake Rais Obama wa Marekani,jijini Nairobi leo



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bibi yake Rais wa Marekani,Mh. Barack Obama,Mama Sarah Obama walipokutana Leo kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempiski  jijini Nairobi, Kenya, wakati Rais Kikwete akijiandaa kurejea nchini.Mama Sarah Obama anatarajia kuzindua taasisi ya kusaidia elimu kijijini Kogelo nchini Kenya,alikozaliwa Baba yake na Rais Obama wa Marekani itakayofahamika kama (Sarah Obama foundation) ambapo atajenga shule kuanzia za awali mpaka sekondari. Rais kikwete sasa hivi ...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam leo April 28, 2015. Rais Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton (kushoto) Ikulu jijini Dar. Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini  kukagua miradi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani