Rais Kikwete Akihojiwa AZAMTV
![](http://img.youtube.com/vi/EtkgQxtls6s/default.jpg)
Rais Jakaya Kikwete amekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela.
Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando amesema studio hiyo ni ya kisasa na haifanani na studio yoyote ya chombo chochote cha habari hapa Tanzania. Aidha alisema hadi kukamilika kwa ujenzi wa studio hiyo, zaidi ya dola za kimarekani milioni 31 zimetumika.Mkurugenzi wa Uendeshaji, Yahya Mohamed amesema hadi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s72-c/shemeji.jpg)
Kikwete: "Nisingekuwa Rais Ningekuwa Msanii Mkali wa Bongo Fleva.".........HOTUBA Nzima ya Rais Kikwete Aliyoitoa Jana Mei Mosi Iko HAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-qZ_taV7lQAc/VURfrlc_KXI/AAAAAAAAtDQ/HowY65av2gE/s640/shemeji.jpg)
RAIS Dkt. Jakaya Kikwete, ametamba kuwa angakuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya basi angelikuwa wa “BongoFleva” kutokana na kuwa na sauti nzuri yenye kumudu kuimba nyimbo kwa ufasaha zaidi.
Kauli hiyo aliitoa jana jijini Mwanza kwenye uwanja wa michezo wa CCM Kirumba wakati wa maadhimisho ya kilele cha sherehe za Mei mosi zilizofanyika Kitaifa jijini Mwanza kwa mwaka huu wa mwisho wa utawala wake.
Dkt. Kikwete aliimba wimbo wa Bendi ya OSS (Ochestra Safari Sound) wenye mashairi yasemayo...
11 years ago
Mwananchi22 Jan
TPLB: Yanga mtake msitake ni AzamTV tu
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-iftuslMTla8/U3t9V6NdJII/AAAAAAAChnU/mw4hEN81Xjw/s72-c/Image+20-05-2014+at+14.33+(27).png)
AZAMTV YAJA NA KWETU HOUSE (search for the Ultimate Fun)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iftuslMTla8/U3t9V6NdJII/AAAAAAAChnU/mw4hEN81Xjw/s1600/Image+20-05-2014+at+14.33+(27).png)
Akizindua mashindano hayo, Mkurugenzi mtendaji wa AzamTV, bwana Rhys Torrington alisema: Lengo kuu la...
11 years ago
MichuziAZAMTV WAKABIDHI FEDHA KWA BODI YA LIGI MSIMU WA PILI
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Gwajima azimia akihojiwa polisi
Asifiwe George na Humphrey Shao
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana akiitikia wito wa polisi uliomtaka kufika kutokana na tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Waandishi wa Mtanzania Jumamosi waliokuwa...
10 years ago
VijimamboRAIS JACOB ZUMA AKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU-MAKAMU WA RAIS AMSINDIKIZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MA1_ZFohI7c/VJgW4lraY4I/AAAAAAAAZho/geWMTtNN3d0/s640/D92A4124.jpg)
9 years ago
Michuzi19 Oct
KIPANYA AKIHOJIWA NA BBC: VIBONZO NA SIASA TANZANIA
Masoudkipanya-vibonzo Zuhura Yunus akiwa jijini Dar es salaam alizungumza na miongoni mwa wachoraji maarufu wa vibonzo nchini Tanzania hasa za kisiasa, maarufu Masoud Kipanya na mwanzo akitaka kujua huwa anafkiria nini kabla hajachora kibonzo.BOFYA HAPA KUONA NINI WALIZUNGUMZA.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-wEfe-eW_P48/U_G8E8LO3SI/AAAAAAACnmE/9JtU4Jjc6N8/s72-c/unnamed.jpg)
Rais Kikwete azungumza na Rais Zuma na Rais Kabila Zimbabwe
![](http://3.bp.blogspot.com/-wEfe-eW_P48/U_G8E8LO3SI/AAAAAAACnmE/9JtU4Jjc6N8/s1600/unnamed.jpg)
11 years ago
Dewji Blog21 May
AzamTV yaja na Kwetu House (search for the Ultimate Fun) kwa mashabiki wa Soka nchini
AzamTV wamezindua mashindano yatakayowahusisha wapenzi wa kandanda yatakayojulikana kama KWETU HOUSE. Mashindano haya ambayo ni mara ya kwanza Tanzania yatashirikisha wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu ambapo watu kumi wa 10 wa timu mbalimbali watachaguliwa na kuishi katika nyumba moja kwa muda wa siku 3 wakionyesha ni jinsi gani wao ni mashabiki namba mmoja kwa timu zao .
Akizindua mashindano hayo, Mkurugenzi mtendaji wa AzamTV, bwana Rhys Torrington alisema: Lengo kuu la kufanya...