Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPLB: Yanga mtake msitake ni AzamTV tu

Dar es Salaam. Uongozi wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), umesema Yanga itake isitake AzamTV itarusha mechi zote na kama hawataki ni bora wakajitoa kwenye Ligi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lowassa: Msitake sheria za kuwafunga jela waandishi tu

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameitaka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kuzungumza na wadau wake na kuchukua maoni yao ili muswada wa sheria mpya wa vyombo vya habari usaidie kutatua mgogoro baina yake na vyombo vya habari.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF, TPLB warudisha tiketi za analojia

Dar es Salaam. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na  Bodi ya Ligi (TPLB) wamesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki hadi msimu ujao baada ya mfumo wa kubaini tiketi halali na feki (Turnstile) kushindwa kufanya kazi vizuri.

 

10 years ago

TheCitizen

TPLB set to hold election next month

The Tanzania Premier League Board (TPLB) will hold a by-election on November 15 to fill a vacant member’s position.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Akihojiwa AZAMTV



Rais Jakaya Kikwete amekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa studio ya kisasa ya Azam Tv itakayojulikana kama Uhai Production iliyopo eneo la Tabata kando ya barabara ya Mandela.

Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Tido Mhando amesema studio hiyo ni ya kisasa na haifanani na studio yoyote ya chombo chochote cha habari hapa Tanzania. Aidha alisema hadi kukamilika kwa ujenzi wa studio hiyo, zaidi ya dola za kimarekani milioni 31 zimetumika.Mkurugenzi wa Uendeshaji, Yahya Mohamed amesema hadi...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA BODI YA LIGU KUU TANZANIA (TPLB)

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chake cha Februari 21, 2020 ilipitia taarifa mbalimbali za mechi ya Ligi Kuu Vodacom (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi Daraja la Pili (SDL) zinazoendelea hivi sasa. LIGI KUU
Mechi namba 218- Azam FC 1 vs Coastal Union FC 2. 
Klabu ya Azam FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuchelewa kutoka uwanjani hata Kamishna alipowaita walikaidi amri ya kutoka vyumbani na golikipa wa timu hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

AZAMTV YAJA NA KWETU HOUSE (search for the Ultimate Fun)

AzamTV leo wamezindua mashindano yatakayowahusisha wapenzi wa kandanda yatakayojulikana kama KWETU HOUSE.  Mashindano haya  ambayo ni mara ya kwanza Tanzania yatashirikisha wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu ambapo  watu kumi wa 10 wa timu mbalimbali watachaguliwa na kuishi katika nyumba moja kwa muda wa siku 3 wakionyesha ni jinsi gani wao ni mashabiki namba mmoja kwa timu zao .
Akizindua mashindano hayo, Mkurugenzi mtendaji wa AzamTV, bwana Rhys Torrington alisema: Lengo kuu la...

 

11 years ago

Michuzi

AZAMTV WAKABIDHI FEDHA KWA BODI YA LIGI MSIMU WA PILI

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Silas Mwakibinga akiwaonesha waandishi wa habari uthibitisho wa malipo ya shilingi milioni 400 ikiwa ni sehemu ya pili ya malipo kwa ajili ya Ligi Kuu.  Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Azam Media Rhys Torrington (kulia) akimkabidhi  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania Silas Mwakibinga nakala ya uthibitisho wa malipo ya fedha kwa ajili ya Ligi Kuu ya Vodacom.  KAMPUNI ya Azam Media imetangaza kuwa tayari imeshatuma fedha kwa Bodi...

 

11 years ago

Dewji Blog

AzamTV yaja na Kwetu House (search for the Ultimate Fun) kwa mashabiki wa Soka nchini

kwetu house

AzamTV  wamezindua mashindano yatakayowahusisha wapenzi wa kandanda yatakayojulikana kama KWETU HOUSE.  Mashindano haya  ambayo ni mara ya kwanza Tanzania yatashirikisha wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu ambapo  watu kumi wa 10 wa timu mbalimbali watachaguliwa na kuishi katika nyumba moja kwa muda wa siku 3 wakionyesha ni jinsi gani wao ni mashabiki namba mmoja kwa timu zao .

Akizindua mashindano hayo, Mkurugenzi mtendaji wa AzamTV, bwana Rhys Torrington alisema: Lengo kuu la kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani