RAIS KIKWETE AKIONGELEA WANAOWASEMA VIBAYA KARUME NA NYERERE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongelea wanaowasema vibaya waasisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Abeid Aman Karume na Julius Kambarage Nyerere wakati wa mahojiano na vyombo mbalimbali vya habari Ikulu jijini Dar es salaam Aprili 15, 2014. (Video na…
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog14 Dec
VIDEO: Rais Dkt. Magufuli amerudisha enzi za hayati Karume na Nyerere – Mzee Kundiheri
Majaaliwa ya Zanzibar yako mikononi mwa Rais Magufuli Namwomba anitafutie Zanzibar ilikojichimbia naimani huyu ataniletea Zanzibar mpya huyu hyuu aliibusu picha kwa furaha Mzee Kundi Kheri. Tazama video hii hapa chini.
10 years ago
VijimamboRais Kikwete aifariji familia ya Nyerere kufuatia kifo cha John Nyerere
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo leo asubuhi nyumbani kwa Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mwanaye John Nyerere kilichotokea hivi karibuni.Aliyesimama pembeni ya Rais ni mdogo wa marehemu Makongoro Nyerere.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya marehemu John Nyerere nyumbani kwao Msasani jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mjane wa Baba wa Taifa,...
11 years ago
Michuzi18 Apr
10 years ago
Dewji Blog11 May
Rais Kikwete aomboleza kifo cha John Nyerere
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John Nyerere aliyefariki Jumamosi Mei 9,2015 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam
Pamoja na salamu hizi, Rais Kikwete ambaye yuko nchini Alrgeria kwa ziara ya kikazi, amefanya mawasiliano binafsi na Mama Maria na kumpa pole kwa kuondokewa na kijana wake.
“Hakuna mzazi anayependa kuondokewa na mwanae, ni kitu kigumu sana kwa mzazi...
10 years ago
Michuzi11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Huku ni kuwaenzi Nyerere na Karume?
WAASISI wa taifa letu, hayati Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, wamelifanyia taifa hili mambo mengi yasiyo na mfano. Mwenyezi Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi… Amina....
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Leticia: Nyerere, Karume wasiguswe
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Rais Kikwete atoka wodini, familia ya Nyerere yatuma salamu