Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE ANASTAAFU; ATAKUMBUKWA KWA HAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Mungu ni mwenye rehema kubwa, tusichoke kumuabudu na kusifu utukufu wake.
Baada ya kusema hayo nianze kwa kusema kuwa Rais Jakaya Kikwete, atamaliza muda wake wa kuliongoza taifa hili Oktoba, 2015 na leo nimeona niwakumbushe yale aliyoyafanya kwa miaka hiyo karibu kumi akiwa kiongozi wa nchi. Hakuna ubishi kwamba Rais Kikwete aliingia madarakani kwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Bondia Manny Pacquiao anastaafu ngumi? haya ni majibu yake…

Staa wa ngumi duniani raia wa Ufilipino Manny Pacquiao amesema anatarajia kustaafu mchezo huo April 2016 baada ya kumaliza pambano lake na bondia Timothy Bradley. Bondia huyo ambaye tayari ameshinda mataji nane ya ubingwa wa dunia kwa sasa ana ndoto za kuwania nafasi za juu za uongozi katika nchi yake ya Ufilipino anaamini ana nafasi […]

The post Bondia Manny Pacquiao anastaafu ngumi? haya ni majibu yake… appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete atakapong’atuka, atakumbukwa kwa lipi?

Hotuba aliyotoa Rais Jakaya Kikwete, Oktoba 2014 alipokuwa Beijing, China ni kama alianza kuwaaga Watanzania  akijiandaa kustaafu urais.

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Ahmad Tejan atakumbukwa kwa mengi

Rais wa zamani wa Sierra Leone, Alhaji Ahmad Tejan Kabbah, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 huku dunia ikimtaja kama mtu aliyepigania haki na usawa kwa watu wa taifa lake.

 

5 years ago

Raia Mwema

Magufuli atakumbukwa kwa hili la makao makuu

MIAKA takriban 43 iliyopita chama kilichokuwa kinatawala Tanzania Bara kilichojulikana kama TANU

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

MillardAyo

Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio)

Ikiwa ni siku 13 zimepita toka Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli atangaze baraza la mawaziri na kuanza, kwa siku 13 toka Nape Nnauye apata dhamana ya kuwa waziri wa michezo sanaa na utamaduni amemaliza mgogoro ambao huenda ungeiua Stand United na fedha za udhamini kupotea […]

The post Kasi ya Rais Magufuli ikahamia kwa waziri wa michezo Nape kafanya maamuzi haya kwa Stand United (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea salamu za kheri kutoka kwa Rais Obama

D92A4464

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo  jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

D92A4470

jk3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini Baltimore,  Maryland, Marekani.

jk13

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi kwa Rais Kikwete

Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na Dada yake Mpendwa Bi. Tausi Khalfan Kikwete kilichotokea jana tarehe 17 Desemba, 2015 huko nchini India. Katika salamu hizo, Rais Magufuli amesema anaungana na familia ya Rais Mstaafu Kikwete katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZINZA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu mjumbe maalum wa Serikali ya Burundi Sheikh Mohamed Rukara ambaye aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burundi Pierre Nkurunzinza leo jioni.Sheikh Mohamed Rukara ni Mkuu wa Utumishi katika serikali ya Burundi(picha na Freddy Maro)

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea Ujumbe kutoka kwa Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea barua kutoka kwa Rais wa Msumbiji Mhe,Filipe Jacinto Nyusi iliyowasilishwa kwake na Mjumbe maalum Mhe.Eliseu Joachim Machava ambaye pia ni katibu Mkuu wa Chama Cha FRELIMO ikulu jijini Dar es Salaam leo.Baadaye viongozi hao wawili walifanya mazungumzo(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani