Rais Kikwete ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Umoja wa Afrika,Mjini Malabo, Equatorial Guinea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na ujumbe wa Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya umoja huo na mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu Afrika ifikapo mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog27 Jun
Rais Kikwete ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali za Umoja wa Afrika, Mjini Malabo, Equatorial Guinea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na ujumbe wa Tanzania kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika Mjini Malabo, Equatorial Guinea. Miongoni mwa masuala muhimu yanayotarajiwa kujadiliwa kwenye mkutano huu ni bajeti ya umoja huo na mkakati wa kukusanya maoni kutoka nchi wanachama kuhusu Afrika ifikapo mwaka 2063, ambapo umajo huu utafikisha miaka mia moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Dkt. Jakaya Mrisho...
11 years ago
MichuziJK arejea nchini baada ya kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika mjini Malabo Equtorial Guinea
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE ATUA MALABO, EQUTORIAL GUINEA, KUHUDHURIA MKUTANO WA 23 WA UMOJA WA AFRIKA
Akiwa Malabo, Mheshimiwa Rais Kikwete pia atakuwa Mwenyekiti wa kikao cha wakuu wa nchi wanachama wa AU kitakachojadili mazingira. Rais Kikwete na ujumbe wake anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa wiki. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Equatorial Guinea Mhe...
11 years ago
Dewji Blog28 Jun
Rais Kikwete akutana na Wataalamu watatu wa utafiti wa chanjo ya Malaria kutoka Ifakara Health Institute mjini Malabo, Equatorial Guinea
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Dr. Ally Olot, mtafiti wa chanjo ya malaria na kiongozi wa watafiti wa Ifakara Health Institute (IHI) Malabo, Equatorial Guinea) walipomtembelea kwenye makazi yake mjini Malabo ambako Rais alikuwa anahudhuria mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. Wengine ni Dr. Mwajuma Chemba ambaye ni Mtalaamu mratibu wa tafiti za chanjo ya malaria, na Elizabeth Nyakarungu, Mtaalamu wa maabara, utambuzi wadudu wa Malaria).
Rais Kikwete aliwapongeza sana...
10 years ago
Vijimambo15 Jun
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA HUKO AFRIKA KUSINI
9 years ago
CCM BlogMAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG, AHUTUBIA LEO MKUTANO WA MWISHO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
Makamu wa...
10 years ago
MichuziRais Kikwete afungua Mkutano Mkuu wa Wahasibu Wakuu nchi za Mashariki na Kusini Mwa Afrika
10 years ago
MichuziRais Kikwete akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa,Ethiopia
10 years ago
MichuziWaziri Nagu amwakilisha Rais Kikwete kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Asia na Afrika, Jakarta,Indonesia