Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA KUHAKIKI TAKWIMU ZA MAWASILIANO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers jijini Dar es salaam. Kulia ni Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pro, Makame Mnyaa Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ni baada ya kufunga mtambo wa kufuatilia mawasiliano

Sekta ya mawasiliano nchini inakua kwa kasi baada ya milango kufunguliwa mwaka 2005 na kusababisha kuongezeka kwa idadi ya watoa huduma za mawasiliano pamoja na watumiaji.

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI DARAJA LA KIKWETE JUU YA MTO MALAGARASI MKOANI KIGOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akipeana mikono na Balozi wa Korea Kusini Mhe. Chung II, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga mara baada ya ufunguzi wa Daraja la Kikwete katika Mto Malagarasi.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na mkewe Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na ujumbe wa Korea Kusini uliojenga Daraja la Kikwete...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUFUNGUA MKUTANO WA TAKWIMU HURIA KANDA YA AFRIKA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete.SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia itakuwa mwenyeji wa Mkutano wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika.


Mkutano huo utakaofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete utafanyika tarehe 4 – 5 Septemba, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.  Kauli Mbiu ni “Tumia Takwimu Huria  Kuendeleza Afrika” (Developing Africa Through Open Data).


Washiriki takriban...

 

9 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal amwakilisha Rais Jakaya Kikwete, azindua HALOTEL TANZANIA

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (katikati) akizungumza jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, wakati walipokuwa kwenye Hafla ya uzinduzi wa Mtandao mpya wa simu za Halotel Tanzania, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 15, 2015. Picha na OMR

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika

02

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akifungua mkutano wa siku mbili wa Takwimu Huria Kanda ya Afrika unaofanyika nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bella Bird (wa kwanza kulia).

04

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete (hayupo pichani)...

 

9 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA AZINDUA MTAMBO MAALUM ULIONUNULIWA NA MANISPAA YA KINONDONI


 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick akipanda kwenye mtambo maalum wa kuchimbia mitalo (Scaveter), wakati wa uzinduzi uliofanyika leo jijini Dar,Mtambo huo umenunuliwa na Manispaa ya Kinondoni  kwa  thamani zaidi ya Sh. Milioni 600. Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni ,Mussa Natty akimshukuru Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadick baada ya kuzindua scaveter iliyonunuliwa na Manispaa hiyo leo  katika viwanja vya Manispaa , jijini Dar es Salaam.picha na Emmanuel Massaka wa...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MFUMO WA TAKWIMU HURIA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na washiriki (hawapo pichani) wa Mkutano wa Kimataifa wa Mfumo wa Takwimu Huria Barani Afrika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake Rais Kikwete alisema jukumu la utoaji wa taarifa kwa umma si kwa serikali pekee bali hata kwa Sekta binafsi pamoja na taasisi zingine zisizokuwa za serikali zinatakiwa kufuata mfumo huo ili kuleta maendeleo katika nchi husika. Mkutano huo ambao unaudhuriwa na mamia ya...

 

11 years ago

Michuzi

Ubalozi wa Marekani wakabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la Polisi kikosi cha maji nchini

Mkuu wa Ushirikiano wa Usalama kwa Ubalozi wa Marekani Tanzania, Lt.Kevin Balisky akisoma risala mbele ya mgeni rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Pereira Silima wakati wa halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa masafa marefu kwa jeshi la maji, masaada huo umetolewa na Serikali ya Marekani kupitia mradi wa AFRICO,leo jijini Dar es salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Pereira Silima, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika halfa ya kukabidhi mtambo wa mfumo wa mawasiliano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani