Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete azindua nyumba za bei nafuu Mkinga

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana.Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mshine za kutengeneza matofali aina ya Hydraform ambazo zitagawanywa kwenye wilaya zote za Mkoa wa Tanga ili...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA BEI NAFUU MKINGA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi nyumba za bei nafuu zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa( National Housing) huko Wilayani Mkinga,Mkoa wa Tanga jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na huduma kwa jamii Cha Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing) Bi.Susan Omari(kushoto) akitoa maelezo na kisha kukabidhi kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mashine za kutengeneza matofali aina ya Hydraform...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua Nyumba za gharama nafuu za NHC Mjini Songea

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC huko Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma leo. Kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof.Anna Tibaijuka, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bwana David Misonge Shambwe, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bwana Said Mwambungu. Ris Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la msingi wakati wa ufunguzi wa nyumba ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete azindua mradi wa nyumba za gharama nafuu Mkuzo, Songea leo

unnamed (3)

Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili  katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba  (NHC) na kupokelewa na Ndg. David Shambwe Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma  akiwa katika ziara yake ya kikazi leo, Rais Dr. Jakaya Kikwete anaendelea na ziara mkoani  humo leo. (PICHA ZOTE KWA HISANI YA KITENGO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA JAMII CHA NHC).

unnamed (6)

 Akiwasalimia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Lukuvi azindua nyumba za bei nafuu za NHC Longido

20

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akipewa na Mkurugenzi Mkuu wa NHC maelezo ya uendelezaji wa eneo la Usa-river lililonunuliwa na NHC kwa ajili ya kujenga Jiji la kisasa hapo jana.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Williama Vangimembe Lukuvi jana alifungua nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC Wilayani Longido na kuwataka wananchi kununua nyumba hizo ili NHC iweze kujenga zingine kusaidia Wilaya hiyo kupata makazi...

 

10 years ago

Mwananchi

Ninaposhindwa kuelewa maana ya nyumba za bei nafuu

>Kama kuna msamiati mgumu kwangu, ni huu ninaousikia na kuusoma mara kwa mara kuwa kuna nyumba za bei nafuu hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

JK aagiza NHC wajenge nyumba za bei nafuu

RAIS Jakaya Kikwete ametaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kuangalia uwezekano wa kujenga nyumba za gharama nafuu zaidi, ili kuwezesha hata wenye kipato cha chini kukopa na kuishi kwenye makazi bora.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK azindua nyumba za gharama nafuu


NA SOPHIA WAKATI, MKINGA
RAIS Jakaya Kikwete amefungua mradi wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu wilayani Mkinga ujenzi ambao umegharimu sh. bilioni 1.4 hadi kukamilika.
Kikwete alifungua mradi huo juzi katika ziara yake ya kikazi mkoani humo.
Rais alipongeza jitihada za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanikisha mradi huo huku akiitaka halmashauri ya wilaya hiyo kufanya nalo mawasiliano ili kupata nyumba zitakazowezesha watumishi wake kupata makazi.
Alisema iwapo halmashauri itafanyia kazi...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua mradi wa ujenzi Nyumba za maafisa wa jeshi

Amiri Jehi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Ally Mwinyi(kushoto) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana.Katika mradi huo jumla ya nyumba elfu kumi zinatarajiwa kujenga katika kambi mbalimbali za jeshi nchini
Picha na Freddy Maro

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA MAKAZI YA WANAJESHI GONGO LA MBOTO

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa China nchini Mhe Lu Youqing alipowasili kuzindua nyumba za kisasa za makazi ya wanajeshi Gongo la Mboto jijini Dar es salaam leo Jumamosi 10, 2015. Wengine ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga taifa Dkt Hussein Mwinyi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange, na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe Said Meck Sadick.Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili tayari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani