Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete hawezi kutamka Bunge liharishwe

Mbunge wa Bariadi John Cheyo akichangia Bungeni leo

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni  Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD)Mhe. John Cheyo.(Picha na Maktaba).

Na Magreth Kinabo, Dodoma

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye ni  Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD)Mhe. John Cheyo amesema kwamba mchakato mzima wa Katiba utamalizwa kwa kura ya maoni ya wananchi, hivyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Jakaya  Kikwete haiwezi kutamka leo kulihairisha Bunge Maalum la Katiba kwa kuwa liko...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Werema: Rais Kikwete hawezi kuwafukuza Ukawa bungeni

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema Rais Jakaya Kikwete hana uwezo kisheria wa kuwafukuza au kutengua uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais Kikwete kuhutubia Bunge la Kenya

Rais Kikwete atahutubia bunge la Kenya Jumanne wiki ijayo huku akiendelea kujiandaa kuondoka mamlakani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hotuba ya rais Kikwete alipovunja bunge

Hotuba ya Rais Kikwete bungeni wakati alipolivunja bunge la taifa hilo rasmi.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AVUNJA BUNGE RASMI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilihutubia Bunge la Tanzania na hatimae kulifunga. Kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Anna Makinda. (Picha na Joseph Senga) Spika wa Bunge Anne Makinda akimuongoza Rais Jakaya Kikwete kuingia katika ukumbi wa Bunge.
Kutoka kushoto ni Waziriu Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, Salim Ahmed Salim, Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na Rais mstaafu wa awamu ta pili, Ali...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Rais Jakaya Kikwete. Rais Kikwete ameanza kulihutubia Bunge Maalum la Katiba kutokana na mwaliko wa Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mheshimiwa Samuel…

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Jakaya Kikwete kulihutubia Bunge Julai 9

Dodoma. Rais Jakaya Kikwete atalihutubia Bunge la 10 mjini Dodoma kati ya Julai 9 au 10 kulingana na ratiba yake.

 

9 years ago

Vijimambo

Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge nchini Kenya

Photo Credits: Citizentv.co.ke Rais Kikwete amesema anashukuru na kwake ni heshima ya kipekee, amesema matatizo ya Kenya ni matatizo ya Tanzania

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani