Werema: Rais Kikwete hawezi kuwafukuza Ukawa bungeni
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amesema Rais Jakaya Kikwete hana uwezo kisheria wa kuwafukuza au kutengua uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Sep
Rais Kikwete hawezi kutamka Bunge liharishwe
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD)Mhe. John Cheyo.(Picha na Maktaba).
Na Magreth Kinabo, Dodoma
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD)Mhe. John Cheyo amesema kwamba mchakato mzima wa Katiba utamalizwa kwa kura ya maoni ya wananchi, hivyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Jakaya Kikwete haiwezi kutamka leo kulihairisha Bunge Maalum la Katiba kwa kuwa liko...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Ikulu: Rais hakuwaomba Ukawa warejee bungeni
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Lissu, Werema wavutana bungeni
WANASHERIA nguli, Tundu Lissu na Frederick Werema, jana walizusha mvutano mkubwa bungeni juu ya Mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba. Mvutano huo ulitokana na uwasilishaji mada uliofanywa na Werema juu...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dkW6FslMJ2A/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Kumbe Rais Kikwete anawatambua UKAWA
WAKATI mwingine viongozi wa vyama vya siasa hapa nchini wanapaswa kumuonea huruma Rais Jakaya Kikwete, hasa pale anapothubutu kuchukua uamuzi mgumu ulioweza kuwashinda marais waliomtangulia. Tatizo, baadhi ya wanasiasa wenzake...
10 years ago
VijimamboWabunge Dk Puja na Sebba walioteuliwa na Rais Kikwete wala kiapo Bungeni Dodoma eo
Picha zote na Anitha Jonas - Dodoma.
10 years ago
Vijimambo19 Jan
Ukawa: Muhongo, Werema, Tibaijuka wafikishwe kortini
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/kafulila-19Jan2015.jpg)
Wakati maazimio nane yaliyotolewa na Bunge kwenye mkutano wa 16 na 17 mwishoni mwa mwaka jana kuhusiana na kashfa ya uchotwaji fedha zaidi ya Sh. Bilioni 300 za akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yakiwa hayajatekelezwa yote, Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, amesema watu waliofikishwa mahakamani katika sakata hilo ni dagaa tu na kwamba kambare (vigogo) wanaendelea kutanua.
Aidha, wabunge...
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Rais Kikwete amekutana na Ukawa kujadili nini?
9 years ago
Mtanzania05 Sep
Ukawa wavamia nyumbani kwa Rais Kikwete
Na Elias Msuya, Bagamoyo
MGOMBEA Mwenza wa Chadema kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Juma Duni Haji, ametinga wilayani Bagamoyo na msafara wake ikiwa ni mwendelezo wa safari zake za kampeni.
Wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Majengo, makada wa umoja huo, waliwataka wananchi wa Bagamoyo kumchagua mgombea urais, Edward Lowassa, ili atatue kero zao.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Zanzibar), Ali Said Mohamed, alisema wilaya hiyo ndiko anakotoka...