Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete sikia kilio cha wafanyabiashara

KATIKA siku za karibuni wafanyabiashara nchini wapo kwenye mgomo wa kushinikiza kutotumika kwa mashine za kielektroniki za kukusanya kodi ya mapato, mashine hizo zinasambazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete asikilize kilio hiki cha SHIWATA

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) chini ya Mwenyekiti wake, Cassim Taalib, hivi karibuni uliitisha kongamano katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijiji Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wasanii, wanamichezo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mnyika ‘amvaa’ Kikwete kilio cha maji Ubungo

Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika amemtaka Rais Jakaya Kikwete kutekeleza ahadi ya kuwapatia wananchi wake huduma ya maji aliyoitoa mwaka mmoja uliopita.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA RAIS WA BURUNDI, NKURUNZIZA


 Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Burundi DSM kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Burundi, Nkurunziza, Kikwete amefahamiana na Nkurunzinza kwa zaidi ya miaka 20 tangu wakati wa mazungumzo ya amani ya Burundi.



 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata

President-Michael-Sata-view.com_.ng_

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameshtushwa na kusononeshwa sana na taarifa za kifo cha Rais wa Jamhuri ya Zambia, Mheshimiwa Michael Chilufya Sata (pichani) ambacho kimetokea jana, Jumanne, Oktoba 28, 2014 kwenye Hospitali ya King Edward VII, London, Uingereza, ambako alikuwa anatibiwa akiwa na umri wa miaka 77.

Katika salamu ambazo amempelekea Makamu wa Rais wa Zambia, Mheshimiwa Dkt. Guy Scott kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara.
  Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote  wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua Kituo Cha Taifa Cha Kumbukumbu Dodoma

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Taifa Kumbukumbu huko kisasa mjini Dodoma leo.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, watatu kushoto ni Mwenyekiti wa BungeMh. Zungu na kulia ni Waziri wan chi Ofisi ya Rais Utawala BoraMh.George Mkuchika. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kufungua rasmi Kituo cha Taifa Cha Kumbukumbu kilichopo Kisasa mjini Dodoma leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete kufungua kituo cha kisasa cha michezo

Rais Jakaya  Kikwete anatarajiwa kuzindua kituo kipya na cha kisasa cha mizecho baadaye mwezi huu kitakachoitwa Jakaya M. Kikwete Youth Park (JMK Park), Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. 

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza kikao cha Dharura cha wakuu wa nchi za EAC

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakati wa mkutano wa dharura wa wakuu wan chi za jumuiya hiyo uliofanyika ikulu jijini Dar es salaam leo.(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wakati kiongozi huyo wa Uganda alipowasili ikulu jijini Dar es...

 

10 years ago

GPL

RAIS JAKAYA KIKWETE AMUANDALIA RAIS WA UJERUMANI DHIFA YA KITAIFA YA CHAKULA CHA USIKU, IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete(wa pili kutoka kulia) na mgeni wake Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Joachim Gauck (wa tatu kutoka kulia) wakifurahia wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha usiku aliyomwandalia  kiongozi   huyo jana usiku, Ikulu jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mke wa Rais wa Tanzania, mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Ujerumani Bi. Daniella Schadt.…
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani