Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KUTOKUWA NA ‘MENO’ KWENYE BUNGE LA KATIBA ALAUMIWE NANI?

KWANZA kama ilivyo ada nimshukuru Mungu kwa kuniweka hai nikiwa na afya njema.
Wiki iliyopita nilieleza jinsi muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulivyozitesa serikali za muungano na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar. Nikasema kamati na tume nyingi ziliundwa na fedha za walipa kodi, nyingi zikatumika lakini mgogoro upo palepale. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

BBCSwahili

Je nani alaumiwe kwa mabadiliko ya anga ?

Rais wa Bolivia, Evo Morales amelaumu mataifa hayo yaliyopiga hatua kubwa kiuchumi kwamba ndio wa kulaumiwa kwa hali ya mabadiliko ya anga

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nani aliidhinisha matumizi Bunge la Katiba’

Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kueleza jinsi ilivyopata fedha za kuendesha Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa Bunge la Muungano halikuwahi kuziidhinisha.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Nani atalinusuru Bunge Maalumu la Katiba?

>Kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi na wasomi nchini kwamba Katiba Mpya haitapatikana iwapo kundi linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) litaendelea kususia shughuli za Bunge hilo, zitakuwa zimeibua hisia kali miongoni mwa wananchi wanaodhani kuna umuhimu kwa uongozi wa nchi kuzikutanisha haraka pande zote zinazokinzana ili kuliepusha Bunge hilo na hatari ya kusambaratika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katiba isipopatikana alaumiwe Kikwete

RAIS Jakaya Kikwete alikuwa na nia njema sana alipounda Tume ya Mabadiliko ya Katiba na kumteua Jaji Joseph Warioba kuwa Mwenyekiti. Robo tatu ya wajumbe aliowateua ni makada kindakindaki (halisi)...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta vs Chenge: Nani mwenyekiti wa kudumu Bunge la Katiba?

Miongoni mwa wanaotajwa kuwa na sifa ya kushika wadhifa huo ni Spika wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Urambo Mashariki, Samwel Sitta.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani