Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MAGUFULI AMEWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 21 2020 amewaapisha Viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni.Viongozi wanaoapishwa ni
1. Dkt. Godwin Oloyce Mollel kuwa Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake Wazee na Watoto.
2. Dkt. Delphine Diocles Magere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani.
3. Dkt. Jacob Gideon Kingu kuwa Balozi wa Tanzania nchini Algeria
4. Balozi Mteule Phaustine Martin Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji
5....

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA LEO MAWAZIRI WAPYA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI

Mawaziri wapya wakisubiri kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.Mawaziri wapya wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhe. Profesa Jumanne Maghembe (kulia) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhe. Dkt. Joyce Ndalichako (kulia) kuwa ...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhe. Profesa Jumanne Maghembe (kulia) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhe. Dkt. Joyce Ndalichako (kulia) kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi. (Ni baada ya kumteua kuwa Mbunge), leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA KATIKA HAFLA FUPI ILIYOFANYIKA IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA

 Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi John Simbachawene kuwa Balozi wa Tanzania nchini Kenya.Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi Phaustine Kasike kuwa Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 21 Mei 2020. Rais, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia Generali John Mbungo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI ZILIZOIBULIWA BUNGENI HIVI KARIBUNI

Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo na Makazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama wakati alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma dhidi ya mkuu huyo wa mkoa pamoja na migogoro ya ardhi.Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama katika mkutano huo. Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha...

 

5 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, SULEIMAN MZEE AWAFUNDA WAKUU WA MAGEREZA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KUHAKIKISHA WANASIMAMIA AGENDA YA MABADILIKO NDANI YA JESHI LA MAGEREZA


Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akitoa maelekezo maalum leo Mei 04, 2020  katika kikao kazi cha Maafisa wa Jeshi la Magereza walioteuliwa hivi karibuni kushika nyadhifa mbalimbali katika Jeshi hilo wakiwemo wakuu wa magereza, Boharia Mkuu wa Jeshi ambapo Jenerali Mzee amewataka kuhakikisha kuwa wanasimamia ipasavyo Agenda ya mabadiliko ndani ya Jeshi la Magereza.Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akiwa meza kuu pamoja na Viongozi Waandamizi wa...

 

5 years ago

Michuzi

MITAMBO MIPYA NIDA KUANZA KUFANYA KAZI HIVI KARIBUNI, KASI YA RAIS MAGUFULI IMESAMBARATISHA UPINZANI NCHINI-WAZIRI SIMBACHAWENE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene, akiangalia nyama katika Bucha la Kijiji cha Malolo, jimbo la Kibakwe, Wilaya ya Mpwawa, Mkoani Dodoma, leo. Waziri huyo amesema utendaji kazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli umesambaratisha upinzani nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Kata ya...

 

9 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU WAZIRI ALIOWATEUA KUJAZA NAFASI ZILIZOSALIA, IKULU DAR LEO


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli, akimwapisha Prof. Jumanne Magembe kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, wakati wa hafla fupi ya kuwaapishwa Mawaziri wapya walioteuliwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Desemba 28, 2015. Picha na OMR
  Mawaziri wapya walioteuliwa mwishoni mwa wiki wakisubiri kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Ikuli jijini Dar es Salaam,leo Desemba 28, 2015. Picha na OMR

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani