Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Magufuli atoa salamu za Mei Mosi 2020,awataka Wafanyakazi waendelee kuchapakazi kwa juhudi na Maarifa

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza na kuwatakia heri Wafanyakazi wote hapa nchini ambao leo tarehe 01 Mei, 2020 wanaadhimisha siku ya wafanyakazi (Mei Mosi).
Mwaka huu sherehe za Mei Mosi hazitafanyika ili kuepusha mikusanyiko ya watu, ikiwa ni hatua muhimu ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).
Mhe. Rais Magufuli amesema licha ya kwamba sherehe za Mei Mosi hazitafanyika mwaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATOA SALAMU ZA PONGEZI KWA RAIS MTEULE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANANIA,JOHN POMBE MAGUFULI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISalamu za pongezi kwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli zimeanza kumiminika nchini, za kwanza zikiwa zimetumwa na Rais  wa Rwanda, Mheshimiwa Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kiarabu ya Saharawi Mheshimiwa Mohammed Abdelaziz.
     Katika salamu zake kwa Rais Mteule Magufuli, Rais wa Rwanda Mheshimiwa Kagame amesema: “Kufuatia...

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA WASITISHWE NA JANGA LA CORONA, WAENDELEE KUCHAPA KAZI HUKU WAKIZINGATIA TU TAHADHARI ZOTE ZA KUJIKINGA NA UGONJWA HUO

Rais Dk. John Magufuli akitoa salam katika Ibada ya Jumapili, iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu la  Kanisa Katoliki la Dodoma. jijini Dodoma, leo.




DODOMA, Tanzania
Rais  Dk. John  Magufuli amewataka Watanzania kutotishwa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona, badala yake waendelee kufanya kazi kwa bidii na kujenga uchumi huku wakizingatia tahadhari zote za kujikinga kuambukizwa ugonjwa huo kama zilivyotolewa na...

 

11 years ago

Michuzi

HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWENYE KILELE CHA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI, MEI MOSI 2014, DAR

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)  Mei 1, 2014 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rais Magufuli atoa angalizo la utamaduni wa salamu za mikono na mabusu

Rais wa Tanzania, John Magufuli ametoa tahadhari kuhusu ugonjwa unaotokana na virusi vya corona, akiwataka kutopuuza kwani mpaka sasa umegharimu maisha ya watu wengi duniani.

 

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA HERI YA MEI MOSI ,KUTOKA NGOMA AFRICA BAND AKA FFU

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia kila la heri watanzania wote walio nyumbani na nje ,Heri na baraka, Amani,Mshikamano na Upendo katika maadhimisho ya sherehe za siku kuu ya wafanyakazi MEI MOSI.
TUZIDISHE JUHUDI KAZINI ! KAZI NI KAZI
Sherehekea MEI MOSI kwa muziki at www.ngoma-africa.com

 

11 years ago

GPL

SHEREHE ZA MEI MOSI MWANZA WAFANYAKAZI WAOMBA KODI IPUNGUZWE

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.
 Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza .…
...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje walivyoshiriki Sherehe za Mei Mosi

Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakisheherekea Siku ya Wafanyakazi Duniani, iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni "UTAWALA BORA UTUMIKE KUTATUA KERO ZA WAFANYAKAZI" Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa kati maandamano Maandamano yakiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Sherehe za sikukuu ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi) mkoa wa Singida zafana

DSC05562

Mkurugenzi mtendaji wa halmshauri ya wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Halima Mpita (wa kwanza kushoto akishirikiana na viongozi wa ngazi mbali mbali mkaoni Singida, kuimba wimbo wa mshikamano kwenye kilele cha sherehe za wafanyakazi duniani (mei mosi) zilizofanyika jana kwenye uwanja wa Namfua mjini hapa.

DSC05561

Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Saidi Alli Amanzi (wa pili kushoto) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kwenye kilele cha sherehe za wafanyakazi duniani (mei mosi) zilizofanyika jana...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli atoa salamu baada ya kusali Ibada ya Jumapili katika Kanisa la KKKT Usharika wa Chato

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Ibada ya Jumapili ya Tano baada ya Pasaka katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Chato mkoani Geita leo tarehe 17 Mei 2020 mara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani