RAIS MAGUFULI AWASHUKURU VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA WOTE
Rais Dkt.Magufuli amewashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuitikia wito wa kumuomba mwenyezi Mungu aepushe Corona.
Ametoa shukrani hizo katika Misa takatifu kwenye Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imaculata Chamwino Dodoma
Akiwa Kanisani hapo, Rais Magufuli ameendesha harambee ya kuchangia upanuzi wa Kanisa hilo na kufanikiwa kuchangisha zaidi ya Tsh. Mil 17 ikiwemo Tsh. Mil 10 aliyochangia yeye mwenyewe na mifuko 76 ya saruji, ametaka upanuzi wa kanisa uanze kesho.
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziRais Magufuli awashukuru Viongozi wa Dini na Watanzania wote kwa kuomba dhidi ya Corona
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt....
5 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AWASHUKURU WATANZANIA KWA KULIOMBEA TAIFA
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 24, 2020) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza kuswali sala ya Eid El Fitri katika Msikiti wa Gaddafi, jijini Dodoma. Pia Rais Dkt. Magufuli amewashukuru...
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI: WATANZANIA NA WAGENI WATAKAOINGIA NCHINI KUTOKA NCHI ZILIZOATHIRIWA NA CORONA WOTE KUJITENGA SIKU 14 KWA GHARAMA ZAO.
IKULU, Chamwino, Dodoma
Rais Dk. John Magufuli leo ametangaza hatua nyingine ili za kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Coron
Rais Dk. John Magufuli amesema kuanzia kesho wasafiri wote watakaoingia nchini kutoka katika mataifa yaliyoathirika zaidi na ugonjwa wa Corona, watalazimika kufikia sehemu za kujitenga kwa siku 14 kwa gharama zao wenyewe.
Akihutubia taifa,...
10 years ago
Habarileo29 Aug
Rais Burundi awashukuru Watanzania
RAIS wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, amewashukuru Watanzania wote kwa mchango wao mkubwa katika kuleta amani na utulivu katika nchi hiyo, akisisitiza kuwa hakuna nchi nyingine duniani imechangia amani kwa Burundi kama Tanzania.
5 years ago
MichuziVIONGOZI WA DINI WILAYANI KARAGWE WAANDAMANA KUMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KURUHUSU IBAADA DC AWAPOKEA KWA NIABA YAKE NA KUTOA NENO.
Askofu Almachius Rweyongeza mwenye kanzu nyeupe pamoja na viongozi wengine wa dini wakiongea na viongozi wenzao wa dini.Askofu Almachius Rweyongeza kulia akiongea na viongozi wenzake wa dini baada ya kupokea maandamano ya Amani yaliyolenga kumshukuru Rais Magufuli kwa kutofunga nyumba za ibaada na kuwaruhusu watanzania...
9 years ago
MichuziViongozi wateule wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakutana na Watumishi wote
10 years ago
Habarileo29 Jun
Rais Kikwete awapa wosia wa amani viongozi wa dini
RAIS Jakaya Kikwete amewaomba viongozi wa dini nchini kuendeleza hali ya amani na utulivu uliopo nchini kwa kuhakikisha kuwa nchi inabaki na amani, kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu, 2015.
10 years ago
VijimamboViongozi wa Dini Mbalimbali wamuombea dua Rais Kikwete ikulu
Picha ya pamoja(picha na Freddy Maro)
10 years ago
Michuzi07 Oct
RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA DINI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta amani na maelewano nchini katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam. Mkutano huo wa siku nne ulioanza jana unajulikana kama Tanzania Christian & Muslim Religious Leaders’ Initiative for Peace and Co-existence.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa lengo la kujenga na kuleta...