Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS MUSEVENI UGANDA AONGEZA SIKU NYINGINE 21 KUKABILIANA NA CORONA

  Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza siku nyingine 21 kuanzia kesho April 15 hadi April May 05,2020 za Watu kuendelea kubaki nyumbani na kutofanya shughuli ambazo zilipigwa marufuku hapo awali ili kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.
Mpaka sasa watu 54 wamegunduliwa kuwa na maambukizi ya virusi hivyo na kati yao wanne wamepona. Hakuna kifo kilichoripotiwa kufikia sasa.
Machi 31, Museveni alitangaza marufuku ya watu kutokutoka nje kwa siku 14, ambazo zilikuwa zinaisha leo Aprili 14.
Hii...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14

Rais wa Uganda Yoweri Museveni atangaza amri ya kutotoka nje kwa siku 14 kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Museveni atoa masharti ya kuwadhibiti madereva wa malori Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya ya kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni kufanya ziara ya kikazi nchini

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni (pichani), anatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatano asubuhi, tarehe 10 Septemba, 2014 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Katika ziara hiyo nchini, Mhe. Museveni atakuwa na mazungumzo na mwenyeji wake, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam. Rais Museveni ataondoka baadaye siku hiyo hiyo kurejea nyumbani.
IMETOLEWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI,WIZARA YA MAMBO YA NJE NA...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Itakua ni ''uendawazimu'' kuendesha uchaguzi wakati wa corona, asema rais wa Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kuwa itakua ni 'uendawazimu' kuendesha uchaguzi wakati wa mlipuko wa virusi vya corona

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Rais Yoweri Museveni amepiga marufuku huduma za uchukuzi wa umma Uganda

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amepiga marufuku uchukuzi wa umma nchini Uganda

 

10 years ago

Michuzi

Rais Yoweri Museveni Awasili Nchini kwa Ziara ya siku moja

 Rais wa Uganda Yoweri Museveni akiteremka katika ndege iliyomleta leo jijini dar es Salaam kwa ajili ya  ziara yake ya siku moja nchini Tanzania . Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akikagua Gwaride la Maaskari pamoja na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni baada ya kuwasili  leo jijini  katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Mwalimu Julius Nyerere kwa ajili ya ziara ya siku moja. Rais wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete (Kulia) pamoja na mgeni...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marufuku ya kutoka nje yaongezwa kwa siku 21 Uganda

Marufuku ya kutoka nje yaongezwa kwa wiki tatu Uganda

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rais Yoweri Museveni awaonyesha Waganda jinsi ya kufanya mazoezi ya nyumbani kudhibiti maambukizi

Uganda imepiga marufuku kufanya mazoezi ya mwili ya umma kama njia ya ziada ya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAMWELWE AITAKA LATRA KUCHUKUA HATUA KUKABILIANA NA CORONA KWENYE VITUO VYA MABASI,ATOA SIKU TATU KUHAKIKISHA ZINARATIBU AGIZO HILO

Charles James, Globu ya Jamii

SERIKALI imeziagiza Halmashauri za Majiji na Miji kukaa na Mamlaka za Udhibiti Usafiri wa Ardhini (LATRA) ili kuweka utaratibu maalum ambao utadhibiti mrundikano na wingi wa watu kwenye vituo vikuu vya mabasi.

LATRA na Halmashauri hizo zimepewa siku tatu kuhakikisha zinaratibu agizo hilo ikiwa ni hatua za serikali katika kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona.

Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dodoma leo, Waziri wa Ujenzi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani