Rais wa Maldives anusurika mlipuko
Rais wa Maldives Yameen Abdul Gayoom, amenusurika baada ya mlipuko kutokea kwenye boti yake alipokuwa akitoka kuhiji Saudi Arabia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Jun
Jenerali muasi anusurika katika mlipuko
9 years ago
BBCSwahili24 Oct
Makamu wa rais wa Maldives akamatwa
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Makamu wa rais wa Maldives afutwa kazi
9 years ago
BBCSwahili01 Nov
FBI yakanusha mashua ya rais wa Maldives ilitegwa bomu
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Rais wa Nigeria anusurika bomu
9 years ago
BBCSwahili19 Oct
Aliyehukumiwa kifo kwa kuzini Maldives aokolewa
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Rais Kikwete amtumia salamu za pole Dkt. Shein kufuatia mlipuko wa bomu Zanzibar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mheshimiwa Dkt. Ali Mohamed Shein kufuatia kuuawa kwa mtu mmoja na wengine sita kujeruhiwa akiwemo mhubiri wa amani ajulikanaye kama Sheikh Ahmed Haidari Jabir wa Zanzibar, kutokana na kurushwa kwa Bomu katika shughuli ya kidini iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Darajani tarehe 13 Juni,2014, mjini Unguja.
‘Hicho ni kitendo cha kulaaniwa kwa nguvu zote na watu wote...
5 years ago
BBCSwahili25 May
Virusi vya corona : Rais Ramaphosa asema mlipuko wa virusi utakuwa mbaya zaidi