Rais wa Nigeria anusurika bomu
Bomu moja limelipuka kazkazini mwa Nigeria nje ya uwanja mmoja wa soka ambapo rais Goodluck Johnathan alikuwa amehutubia mkutano.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Jun
Bomu:Rais wa Nigeria aahirisha ziara
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameahirisha ziara yake nchini Equitorial Guniea kufuatia shambulizi la bomu
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Milipuko ya bomu yawaua 15 Nigeria
Milipuko miwili ya mabomu ambayo ilikumba maeneo ya viungani mwa mji mkuu wa Nigeria Abuja yamewaua watu 15 na kuwajeruhi wengi kulingana na maafisa.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Mlipuko wa bomu wawaua watu 23 Nigeria
Watu 23 wameuawa Kaskazini mwa Nigeria wakati mabomu yaliyokuwa yameachwa nyuma na wapiganaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram yalipolipuka
11 years ago
BBCSwahili23 Jul
11 years ago
GPL
MLIPUKO WA BOMU WAUA 21 ABUJA NIGERIA
Mulipuko wa bomu umetokea katika duka kubwa la manunuzi la Emab Plaza lililo karibu na Banex Plaza, jijini Abuja, Nigeria.…
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Wanne wafariki kutokana na bomu Nigeria
Ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa mlipuaji wa kujitolea muhanga amewaua watu wanne na kuwajeruhi wengine kadhaa
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Shambulio la Bomu Nigeria:Watu 13 wafa
Watu 13 wapoteza maisha baada ya Mtu mmoja kujitoa muhanga kwenye basi la Abiria
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Mlipuko wa bomu wawaua watu 20 Nigeria
Takriban watu 20 wamefariki kutokana na mlipuko wa bomu katika mji wa kaskazini mashariki wa Maiduguri nchini Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania