Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais wa Nigeria afukuza kazi mwingine.

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amemfukuza kazi mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwakyembe afukuza kazi vigogo 6 wa Reli

Dk Harison Mwakyembe.WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameagiza wafanyakazi sita wa Shirika la Reli Tanzania (TRL), wafukuzwe kazi na polisi wawakamate na kuwalaza rumande kuanzia jana kutokana na tuhuma za wizi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mwingine Nigeria - 14 wauawa

Polisi kaskazini mashariki mwa Nigeria wanasema kuwa shambulizi la bomu limewauwa zaidi ya watu 14 na kuwajeruhi wengine wengi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Nyota mwingine wa Nigeria ajitoa Super Eagles

Nyota wa timu ya taifa ya Nigeria Super Eagles Emmanuel Emenike ametangaza kwamba amestaafu kutoka kwa timu hiyo ya taifa.

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba afanya kazi na msanii mwingine wa Uganda, ‘Kleyah’

Teaser-1Barnaba amefanya collabo na msanii wa Uganda, Kleyah. Wawili hao wanarekodi wimbo uitwao ‘Msobe Msobe katika studio za High Table zinazomilikiwa na Barnaba. Barnaba ameiambia Bongo5, “Kleyah alinitafuta kupitia simu alipewa namba yangu kupitia kituo kimoja hivi cha redio. Ni msanii ambaye mwenye uwezo mkubwa sana na sikutegemea kama msanii kama huyu anaweza kunitafuta maana […]

 

11 years ago

GPL

MAJANGA NIGERIA: MLIPUKO MWINGINE WAUA 18, WENGINE 19 WAKIJERUHIWA

WATU 18 wamepoteza maisha huku zaidi ya 19 wakijeruhiwa katika mlipuko wa bomu uliotokea mji wa Mubi nchini Nigeria jana jioni. Polisi nchini humo wamethibitisha kutokea kwa mlipuko huo. Inadaiwa kuwa mlipuko huo ulilenga chumba kimoja cha burudani ambapo watu walikuwa wakitazama mechi ya soka kwenye televisheni. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililothibitisha kuhusika na shambulio hilo japo polisi wanadai yawezekana ni kundi la...

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi afukuza waandishi, awatisha

MADIWANI wa Halmashauri wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera wamelaani kitendo cha Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Joseph Mkude kuwafukuza waandishi wa habari na wananchi katika vikao vya Baraza la Madiwani hao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kikwete afukuza mawaziri wanne TZ

Mawaziri wanne wa Tanzania wamefukuzwa kazi na rais wa nchi hiyo Jakaya Kikiwete baada ya kutengua uteuzi wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani