Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA BONANZA LA MAZOEZI YA VIUNGO KITAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza Matembezi ya wanamichezo katika Bonanza la mazoezi ya viungo kitaifa yaliyofanyika leo kwa kuwanzia Uwanja wa Tumbaku Mjini Unguja na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanamichezo wa Vikundi mbali mbali kama ishara ya kuyapokea maandamano ya vikundi hivyo katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya viungo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AONGOZA SIKU YA KILELE CHA MAZOEZI KITAIFA,ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza matembezi ya Siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa akiwa na Viongozi wengine yaliyoanzia katika Uwanja wa Tumbaku hadi Uwanja wa Amaan Studium leo asubuhi ambapo yamejumuisha Vikundi mbali mbali vya Unguja na Pemba.Miongoni mwa vikundi vilivyoshiriki katika matembezi ya Siku ya Kilele cha Mazoezi ya Viungo Kitaifa ni kikundi cha KVZ Fitness Group kikiwa katika hali ya ukakamavu na nidhamu...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZOEZI KITAIFA KUFANYIKA ZANZIBAR

Katibu Mtendaji wa Chama cha Mchezo wa Mazoezi ZABESA Amer Mohd Makame akielezea madhumuni ya kufanyika kwa Tamasha la kwanza la siku ya mazoezi 01/01/2015 katika ukumbi wa Wizara ya habari Utamaduni Utalii na Michezo alipokutana na Waandishi wa Habari Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama cha Mchezo wa Mazoezi ZABESA Mohd Zidi akifafanua jambo katika mkutano na Waandishi wa Habari kuhusiana na Maadhimisho ya siku ya Mazoezi Kitaifa 01/01/2015 yatakayo fanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar,ambapo Mgeni...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali za Apollo kuhimiza wagonjwa wa Haemophilia kufanya mazoezi ya viungo

Print

Kujikata, kugongwa na kuchubuka ni ajali za kawaida kwa watu wengi sababu ya shughuli za kila siku, nyumbani na sehemu nyingine ajali hizi hazikwepeki na mara nyingi hazitiliwi mkazo kiafya. Hata hivyo kwa watu wenye haemophilia ajali kama hizo ndio sababu kubwa ya kutufanya kuchukua tahadhari zaidi. Ugonjwa huu kwa kiasi kikubwa ni wa kimaumbile na unadhoofisha uwezo wa mwili kujikarabati wenyewe wakati unapoumia kwa kujikata au michubuko. Taasisi mbalimbali zimekuwa zikijaribu kuongeza...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KIWANDA CHA VIUNGO vya chakula cha EVEREST SPICE Industries Ltd,India

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiangalia karafuu   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiangalia bidhaa iliyokwisha kuwa tayari kwa matumizi  ikiwa katika matayarisho yaliyo bora katika kiwanda cha cha  Viungo   cha  (Everest Spice Industries Ltd) Mumbai  India akiwa katika ziara ya Kiserikali,(katikati) Balozi wa Tanznaia Nchini India John W.H.Kijazi.   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Zanzibar aongoza waombolezaji katika mazishi ya Dkt. Omar Makame Shauri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika kumswalia aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri katika Msikiti wa Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja kabla ya mazishi yake leo. Baadhi ya wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakilibeba jeneza la aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AONGOZA MATEMBEZI YA MAZOEZI PEMBA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongoza matembezi ya mazoezi yaliyoanzia Tungamaa hadi Viwanja vya Mnazi mmoja Wete.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongoza matembezi ya mazoezi yaliyoanzia Tungamaa hadi Viwanja vya Mnazi mmoja Wete, huku akiwapungia mkono wananchi waliokuwa wamejipanga barabaraniMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akishiriki matika kufanya mazoezi ya kunyoosha viungo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani