Hospitali za Apollo kuhimiza wagonjwa wa Haemophilia kufanya mazoezi ya viungo
Kujikata, kugongwa na kuchubuka ni ajali za kawaida kwa watu wengi sababu ya shughuli za kila siku, nyumbani na sehemu nyingine ajali hizi hazikwepeki na mara nyingi hazitiliwi mkazo kiafya. Hata hivyo kwa watu wenye haemophilia ajali kama hizo ndio sababu kubwa ya kutufanya kuchukua tahadhari zaidi. Ugonjwa huu kwa kiasi kikubwa ni wa kimaumbile na unadhoofisha uwezo wa mwili kujikarabati wenyewe wakati unapoumia kwa kujikata au michubuko. Taasisi mbalimbali zimekuwa zikijaribu kuongeza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Hospitali ya Apollo kuendesha kambi ya uchunguzi kwa ajili ya wagonjwa wa Moyo na mfumo wa fahamu Tanzania
Mwezi Machi sekta ya afya nchini Tanzania imepokea wataalam kutoka nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kutoa huduma za vipimo, ushauri na matibabu kwa watanzania. Ujio huu umeleta faida kubwa kwa wagonjwa na wataalamu nchini. Miongoni mwa waliotembelea ni timu ya Madaktari bingwa kutoka Israel na Hospitali za Apollo zilizopo nchini India. Ziara hizi za mwishoni mwa mwezi March zilitanguliwa na ziara ya madaktari wawill kutoka hospitali ya Apollo ya bangarole mwanzoni mwa mwaka...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-EP0fQYHPiQk/VoZBiDqG6iI/AAAAAAAIPsA/U1EgyFSxk-I/s72-c/DSC_7820.jpg)
RAIS WA ZANZIBAR AONGOZA BONANZA LA MAZOEZI YA VIUNGO KITAIFA
![](http://2.bp.blogspot.com/-EP0fQYHPiQk/VoZBiDqG6iI/AAAAAAAIPsA/U1EgyFSxk-I/s640/DSC_7820.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-pNJEwTwE-SE/VoZBiXNs8CI/AAAAAAAIPsE/CEB8xBkgxR8/s640/DSC_7884.jpg)
10 years ago
Dewji Blog24 May
Mh. Amina Mwidau (CUF) afaraji wagonjwa na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa Hospitali ya wilaya ya Pangani
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani, Mugiri Emili (kushoto) akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF), Amina Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni, sukari ikiwemo mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na mbunge huyo.(Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani).
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali
SERIKALI kwa kushirikiana na hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa kwenda India.
11 years ago
Habarileo16 Dec
‘Viungo vya marehemu vitumike kuokoa wagonjwa’
SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kuangalia uwezekano wa kuanza kutumia viungo vya binadamu waliofariki dunia katika kuokoa wagonjwa wenye uhitaji ili kunusuru maisha yao na kupunguza gharama ya kufuata huduma hiyo nje ya nchi.
10 years ago
Habarileo22 Jun
Serikali, Apollo kuanzisha hospitali ya magonjwa sugu
SERIKALI kwa kushirikiana na Hospitali bingwa ya magonjwa sugu duniani ya Apollo iliyopo nchini India, inatarajia kuanzisha hospitali nchini kwa ajili ya kutoa huduma ya magonjwa hayo badala ya wagonjwa kusafirishwa India.
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
JK aongoza mahusiano kati ya Tanzania na Hospitali za Apollo
Mahusiano kati ya Tanzania na India yalianza miaka mingi iliyopita, tangu kipindi hicho mahusiano haya yamekua kufikia mafanikio ya hali ya juu kwa nchi zote mbili. Rais Jakaya Kikwete alitembelea nchini India ambapo alikutana na maafisa mbali mbali wa Serikali hiyo ya India pamoja na maafisa watendaji wakuu wa makampuni pamoja na taasisi mbali mbali. Pia wakati wa ziara hii Rais alisaini makubaliano ya kushirikiana kati ya serikali ya Tanzania na Hospitali za Apollo nchini...
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
Hospitali ya Apollo yafanikiwa kutenganisha mapacha kutoka Tanzania walioungana
Watanzania waendelea kufaidika kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyoko nchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumboni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika tarehe 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na upasuaji uliofanyika na hospitali Apollo ulikuwa wenye mafanikio na wa aina yake.
Mapacha...