Rappers 20 wa Tanzania walioitawala robo tatu ya mwaka 2014 (TV, Redio na Shows)
Wasanii wa hiphop wanaunda sehemu kubwa na ya muhimu katika muziki wa Tanzania. Japo kuna watu wanaoamini kuwa ushindani kati ya rappers wa Tanzania umepungua ukilinganisha na wasanii wa kuimba, bado tumeshuhudia ngoma nyingi na kali zimetoka hadi wiki ya kwanza ya mwezi October 2014. Hawa ni wasanii 20 wa hip hop Tanzania waliosikika zaidi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-j3Orno4Mq2I/VhbII8Nx-DI/AAAAAAAH9_E/8mmlKVGEC64/s72-c/unnamed1.jpg)
Rasilimali za Benki M zaongezeka katika robo ya tatu ya mwaka 2015
Akizungumza katika mkutano huo, Naibu mkurugenzi mkuu wa benki hiyo Bi. Jacqueline Woiso alisema kuwa kwa upande wa rasilimali, mizania ya benki imeendelea kukua kwa asilimia 19% kufikia bilioni 823.43 bilioni katika robo ya tatu ya mwaka 2015, kutoka sh 689 bilioni za mwezi December 2014. Hiki ndio...
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Benki ya Exim yapata faida kabla ya kodi ya asilimia 9 katika robo ya tatu 2014
Meneja Fedha Mwandamizi Benki ya Exim, Bw. Issa Hamisi (wapili kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya utendaji wa kifedha wa benki hiyo katika robo ya tatu ya mwaka ambapo faida ya benki ya kabla ya kodi imekua kwa asilimia 9 mpaka shilingi bilioni 5.4 ikilinganishwa na kipindi hicho mwaka jana, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Benki, Bw. George Binde, Mkuu wa Hazina, Bw. George Shumbusho (wapili kushoto) Meneja Utafiti na Chambuzi za...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WQFJA5SYdOY/U-kLpFUySUI/AAAAAAAF-n4/MttKk-yLXDM/s72-c/download+(1).jpg)
10 years ago
MichuziOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Gc1eMcwTRSw/U2Nb54ZnPLI/AAAAAAAFe3I/tOs9qpcOP6c/s72-c/unnamed+(10).jpg)
Mkutano mkubwa wa Kimataifa wa Wafadhili wa kustawisha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ya Zanzibar,kufanyika robo mwaka ya mwisho ya mwaka huu
Mkutano huo utakofadhiliwa na Serikali ya Oman unatatarajiwa pia kujumuisha Wawekezaji wa sekta ya fedha na uchumi kutoka Mataifa na Taasisi tofauti Duniani . Mjumbe Maalum wa Serikali ya Oman Bwana Yahya Al – Ureim alieleza...
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Robo tatu ya waliofaulu wachaguliwa kidato cha V
10 years ago
MichuziROBO TATU YA VIFO VITOKANAVYO VYA UZAZI VIMEPUNGUZA
MALENGO ya Milenia ya Nne na Tano yamefikiwa kutokana na mkakati wa kupunguza vifo vya Mama na mtoto nchini vinavyotokana na uzazi kwa robo tatu na kuweza kufikia wakina mama 193 kwa vizazi hai 100,000.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid wakati akitangaza kuwepo kwa Maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambayo yatafanyika kesho katika viwanja Mkendo mkoani Mara.
Amesema tafiti zilizofanywa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s72-c/unnamed.jpg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-52XVCrewgFc/VKPcctRp04I/AAAAAAAG6tE/UQ7us3FJeJ0/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5T5rAqwZNDw/VKPcgErb1II/AAAAAAAG6tU/ij1bYSredpE/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
9 years ago
StarTV22 Aug
Robo tatu ya viongozi kamati tendaji ya Chadema Bunda wajiuzulu nyadhifa zao
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Wilaya ya Bunda kimepata mpasuko mkubwa kutokana na karibu robo tatu ya viongozi wake kujiuzulu nafasi zao akiwemo katibu mwenezi wa CHADEMA jimbo la Bunda Emmanuel Malibwa, mwenyekiti wa jimbo hilo Samwel Alfred na katibu wa CHADEMA Wilaya Rita Itandilo.
Baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho wamesema hivi sasa watamuunga mkono mgombea wa CCM katika jimbo la Bunda Stephen Wassira kwa sababu viongozi wao wamejichanganya kwa kuwafanyia maamuzi...