Ratiba Spika, uteuzi Waziri Mkuu hadharani
SPIKA wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuchaguliwa mjini hapa Jumanne ijayo, ratiba ya Bunge hilo imeeleza. Kutokana na ratiba hiyo, ni wazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitalazimika kumtaja mgombea wake atakayekuwa na nafasi kubwa ya kuwa Spika kati ya kesho na keshokutwa na kumaliza mvutano wa nani anafaa kuwa spika, baada ya wanachama 22 kujitokeza mpaka jana kuwania nafasi hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo9 years ago
Mwananchi18 Nov
Saa 36 muhimu uteuzi wa Waziri Mkuu
11 years ago
Habarileo09 May
JK afanya uteuzi TRA, azungumza na Waziri Mkuu wa China
RAIS Jakaya Kikwete amemteua, Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
11 years ago
Bongo530 Jul
Makamu Waziri Mkuu wa Uturuki apiga marufuku wanawake kucheka hadharani
9 years ago
StarTV16 Nov
Rais aaswa kuangalia uchapakazi, uadilifu, uzalendo uteuzi wa Waziri Mkuu
Rais John Magufuli ameshauriwa kumteuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kuangalia vigezo vya uchapakazi, uadilifu na uzalendo ili aweze kusimamia misingi ya uongozi na kuchangia mabadiliko ya kweli nchini.
Rai hiyo inaenda sambamba na utekelezaji wa ahadi zilizotolewa wakati elimu, afya, upunguzaji mfumuko wa bei katika bidhaa pamoja na ajira vikitakiwa kupewa kipaumbele.
Baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu sasa masikio na macho ya Watanzania yanaelekezwa Mjini Dodoma ambapo majibu ya nani...
10 years ago
Vijimambo12 Jun
WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA UTEUZI WA CCM KUGOMBEA URAIS
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1145.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/387.jpg)
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Tayari Waziri Mkuu wa na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepatikana!
Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Naibu Spika wa Bunge 2015-2020).
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%.
Kassim Majaliwa (Waziri Mkuu mpya wa Tanzania 2015-2020)
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, muda mfupi uliopita limepitisha jina la Mbunge wa Jimbo la Rwangwa, Mh. Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu...
9 years ago
Dewji Blog20 Nov
Tayari Waziri Mkuu na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepatikana!
Dkt. Tulia Ackson Mwansasu (Naibu Spika wa Bunge 2015-2020).
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%.
[DODOMA].
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamemchagua Mhe.Dkt. Tulia Akson kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 baada ya kumshinda mpinzani wake kutoka Chama cha...