Rais aaswa kuangalia uchapakazi, uadilifu, uzalendo uteuzi wa Waziri Mkuu
Rais John Magufuli ameshauriwa kumteuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kuangalia vigezo vya uchapakazi, uadilifu na uzalendo ili aweze kusimamia misingi ya uongozi na kuchangia mabadiliko ya kweli nchini.
Rai hiyo inaenda sambamba na utekelezaji wa ahadi zilizotolewa wakati elimu, afya, upunguzaji mfumuko wa bei katika bidhaa pamoja na ajira vikitakiwa kupewa kipaumbele.
Baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu sasa masikio na macho ya Watanzania yanaelekezwa Mjini Dodoma ambapo majibu ya nani...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog15 Oct
Tano za Magufuli, Uadilifu, Uchapakazi, Ufuatiliaji, Utekelezaji na Utumishi Uliotukuka
MGOMBEA urais wa CCM, Dk John Magufuli amewataka wananchi kumchagua ili awe rais wa tano ajaye wa Tanzania huku akiahidi kushughulikia masuala mbalimbali ya wananchi na hivyo kuliletea Taifa maendeleo kwa muda wote atakaokuwepo madarakani.
Akizungumza na wananchi wa mkoani Lindi katika muendelezo wa kampeni zake, Dk Magufuli alisema akichaguliwa kushika nafasi hiyo, pamoja na mambo mengine atakayoyafanya atatumia utajiri wa gesi uliopo katika mikoa ya Kusini, kutoa ruzuku kwa vifaa vya...
9 years ago
MichuziTANO ZA MAGUFULI . UADILIFU .UCHAPAKAZI .UFUATILIAJI .UTEKELEZAJI NA UTUMISHI ULIOTUKUKA
Akizungumza na wananchi wa mkoani Lindi katika muendelezo wa kampeni zake, Dk Magufuli alisema akichaguliwa kushika nafasi hiyo, pamoja na mambo mengine atakayoyafanya atatumia utajiri wa gesi uliopo katika mikoa ya Kusini, kutoa ruzuku kwa vifaa vya...
9 years ago
Habarileo16 Aug
Watumishi wa umma kusaini ahadi ya uadilifu, uzalendo
VIONGOZI na watumishi wote wa umma nchini wanatakiwa kusaini hati mpya ya Ahadi ya Uadilifu ya Uzalendo, ikiwa ni dhamira ya kuwa na mwenendo wa kimaadili kwa maana ya kuunga mkono kampeni ya kitaifa ya maadili na mapambano dhidi ya rushwa.
10 years ago
Dewji Blog17 Feb
Uzalendo, Uadilifu na Maslahi ya Taifa: Wajibu wa Vyombo vya Habari Jamii
Mshehereshaji kwenye madhimisho ya siku ya redio duniani, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu, Arusha
Vyombo vya habari hususan redio za jamii zimetakiwa kutanguliza uzalendo na kutetea maslahi ya taifa ili kuliepusha taifa katika migogoro na mitafaruku inayoweza kusababisha...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0219.jpg)
UZALENDO, UADILIFU NA MASLAHI YA TAIFA: WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI JAMII
9 years ago
Mwananchi18 Nov
Saa 36 muhimu uteuzi wa Waziri Mkuu
9 years ago
Habarileo14 Nov
Ratiba Spika, uteuzi Waziri Mkuu hadharani
SPIKA wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatarajiwa kuchaguliwa mjini hapa Jumanne ijayo, ratiba ya Bunge hilo imeeleza. Kutokana na ratiba hiyo, ni wazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitalazimika kumtaja mgombea wake atakayekuwa na nafasi kubwa ya kuwa Spika kati ya kesho na keshokutwa na kumaliza mvutano wa nani anafaa kuwa spika, baada ya wanachama 22 kujitokeza mpaka jana kuwania nafasi hiyo.
11 years ago
Habarileo09 May
JK afanya uteuzi TRA, azungumza na Waziri Mkuu wa China
RAIS Jakaya Kikwete amemteua, Rished Bade kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-Uf6X0pKmBQE/XsAzyJpPiLI/AAAAAAAAngs/uRuiLwsqjOcSub0h4o9lkYu7AazKVXdnQCLcBGAsYHQ/s72-c/0.jpg)
RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU WAZIRI WA AFYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Uf6X0pKmBQE/XsAzyJpPiLI/AAAAAAAAngs/uRuiLwsqjOcSub0h4o9lkYu7AazKVXdnQCLcBGAsYHQ/s200/0.jpg)
Na Mwandishi Wetu
CHATO, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemteua, Dkt. Godwin Oloyce Mollel ambaye ni Mbunge wa Siha kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.Hayo yamebainishwa muda huu na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu mjini Chato, Gerson Msigwa.Kwa mujibu wa taarifa hiyo, uteuzi wa Dkt. Mollel unaanza leo tarehe 16 Mei, 2020.Dkt. Mollel anachukua nafasi ya Dkt. Faustine Engelbert...